Dunia ya leo hata rais wako anaweza akatolewa picha wanamnanihii
usiowe na mawazo ya kijuhajuha
Kweli kabisa mkuu dunia hii kila kitu kinawezekana kama pia unaweza kutumiwa kisiasa bila wewe kujijua
Dunia ya leo hata rais wako anaweza akatolewa picha wanamnanihii
usiowe na mawazo ya kijuhajuha
Hata waseme vipi, watanzania wanampenda Dr. Slaa, No one will change it.Moyo wa mwanadamu ndivyo ulivyo. Mwaka 2005 kikwete alipendwa sana lakini kipindi chake kimeshapita.Every thing has got an end. For your information kitu ambacho kitazidi kuiangamiza serikali ni kuendeleza propaganda dhidi ya Dr. Slaa.Mkuu vp kuhusu zile kauli unaona zimekaa vizuri kweli?
Hata waseme vipi, watanzania wanampenda Dr. Slaa, No one will change it.Moyo wa mwanadamu ndivyo ulivyo. Mwaka 2005 kikwete alipendwa sana lakini kipindi chake kimeshapita.Every thing has got an end. For your information kitu ambacho kitazidi kuiangamiza serikali ni kuendeleza propaganda dhidi ya Dr. Slaa.
Kweli kabisa mkuu dunia hii kila kitu kinawezekana kama pia unaweza kutumiwa kisiasa bila wewe kujijua
Kuwa na akili wewe. WHO IS THE SOURCE OF THE PROBLEM, yule aliyeanza kupiga watu mabomu au yule aliyekataa kuonewa kupigwa mabomu. CCM ina take advantage kwamba watanzania wengi bado wanauelewa mdogo, hivyo kupotosha habari kwao si big issue.Nikweli polisi waliua watu halina ubishi lakini vipi na kauli za akina slaa kuhusu uvamizi?
Mkuu zile Kauli ni Matokeo baada ya Polisi kuwa wameanzisha Vurugu sasa unategemea Reaction ya Dr.SLAA ingekuwa vipi.Polisi wameshindwa kutuonyesha chanzo cha vurugu coz wao ndo walianzisha na hapa wametuonyesha Matokeo na Reaction ya viongozi wa CDM.Mkuu vp kuhusu zile kauli unaona zimekaa vizuri kweli?
Wewe ndo unatumiwa kisiasa. Kama unakubaliana na mafisadi si ujinga huo? nataka nikwambie with confidence kwamba siku ukombozi kamili wa nchi utakapofika ninyi hamtafaidi nchi. ingwa hatukujui lakini kumbuka kwamba siku zote Mungu anasimama na wenye haki, Na muda wa Mungu utakapofika wa kumtendea mema mwenye haki, basi yule asiyekuwa wa haki ufutiliwa mbaliKweli kabisa mkuu dunia hii kila kitu kinawezekana kama pia unaweza kutumiwa kisiasa bila wewe kujijua
Umesema vyema mkuuMkuu zile Kauli ni Matokeo baada ya Polisi kuwa wameanzisha Vurugu sasa unategemea Reaction ya Dr.SLAA ingekuwa vipi.Polisi wameshindwa kutuonyesha chanzo cha vurugu coz wao ndo walianzisha na hapa wametuonyesha Matokeo na Reaction ya viongozi wa CDM.Mie ambao sikuwepo ningeliamini jeshi la polisi kama ningeona Source ya fujo.Mf. We umekuja ukanichokoza ukanitukana naweza nikakuangalia tu ila ukinirushia ngumi hapo ndo ntakutandika sawasawa ukishalazwa Hospitali na Mtu asiyejua source yakupigwa kwako anaweza kunihukumu mimi.
wanajikosha kwa mabalozi.
nchi ya omba-omba.
watuwekee na huo wa kiingereza basi.
Hiki kipindi kimetayarishwa na Maelezo. Idara ya serikali. Kwa hiyo tukichukulie hivyo hivyo. Ni propaganda za serikali.Naona itv nao wameonyesha..haisaidii kitu.wananchi wameshachoka.juzi ilikuwa arusha,leo mbeya,kesho iringa,udom,mwanza,musoma n.k.,kama alivyosema jenerali ulimwengu leo pale nkrumah, ni muda wa kupima alama za nyakati...
Nimeona Tangazo TBC kwamba kutakuwa na kipindi Maalumu saa 2:30usiku kuhusu kilichotokea Arusha.
Naamini ni habari wanayotaka kutulisha baada yakufanya editing yakutosha ili kuhalalisha Mauaji waliyoyafanya Arusha.Wadau tufuatilie mida hiyo natutoe Tathmini zetu juu ya Uhalisia wake.
Jeshi la polisi lina watu vihiyo. Polisi tena ndo wanajiongezea chuki kwa raia. Ni bora wangekaa kimya ingesaidia kutuliza maumivu ya wananchiNi bahati mbaya Tido alikuwa anajaribu kuifanya TBC kuwa professional hayupo tena hapo!! Msomaji wa hiyo ducumentary anajitaidi sana kulisafisha jeshi la polisi Arusha bila mafanikio. Imewachukua zaidi ya wiki kuchakachua documentary ambayo inaonyesha wazi kuwa jeshi la polisi linajaribu kuficha ukweli. Documentary inasema walivunja maduka, magari etc lakini haionyeshi hizo part bayana. Walau tumeona ktk media nyingine jinsi polisi walivyokuwa wanavunja vioo vya magari ili kuwapiga abiria wake na hata madereva. Mfano maeneo ya stadium askari walikuwa wapiga mabomu ktk kumbi za starehe
Unfortunately documentary hiyo nadhani kutoka idara ya Maelezo imeharibu zaidi badala ya kuweka mambo sawa. Imeandaliwa kuli-defend jeshi la polisi badala ya kuweka wazi kilicho-transpire hiyo material day hii yote inatoa picha kuwa si bure iko namna.
Nawashauri wajaribu tena. Documentary kama hii ingewashawishi watu ktk miaka ya 80 sio 2011 hata kidogo. Nasema TBC kurusha kipindi kama hiki ni matokeo ya kupwaya ki-leadership baada ya Tido kuondolewa. Nadhani watawala wanajua kuwa alikuwa si mtu wa ku-entertain nonsense.
Ni kweli hicho kilikuwa kipindi maalumu na kimeonyeshwa vituo hivyo vitatu sina hakika kama Star nao wameonyesha. Documentary imeandaliwa na TBC1 maana sauti ni ile ile ya mtangazaji wa TBC1 Shabani Kisu. Lengo ni kulisafisha jeshi la polisi na kuonyesha kuwa yote yaliyofanyika ni kutokana na viongozi wa CDM kutotumia busara katika maamuzi yao.Wanajamii wenzangu nimefuatlia ktk vituo vitatu tofaut,ITV,TBC1 na CH10 na kugundua kuwa serikal imeandaa kipind hik maalum kwa ajil ya kulisafisha jesh la polis na kukichafua CDM,make mtangazaj ana sistza kuwa yote yalotokea lawama kw CDM,shame upon their faces.