TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

Ibra Mo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
793
101
Nimeona Tangazo TBC kwamba kutakuwa na kipindi Maalumu saa 2:30usiku kuhusu kilichotokea Arusha.
Naamini ni habari wanayotaka kutulisha baada yakufanya editing yakutosha ili kuhalalisha Mauaji waliyoyafanya Arusha.Wadau tufuatilie mida hiyo natutoe Tathmini zetu juu ya Uhalisia wake.
 
nadhani hawajachakachua maana nimeona kama wameonesha kwa muhtasari kuanzia pale mkutanoni. Anyway tusubiri tutaona.
 
Nimeona Tangazo TBC kwamba kutakuwa na kipindi Maalumu saa 2:30usiku kuhusu kilichotokea Arusha.
Naamini ni habari wanayotaka kutulisha baada yakufanya editing yakutosha ili kuhalalisha Mauaji waliyoyafanya Arusha.Wadau tufuatilie mida hiyo natutoe Tathmini zetu juu ya Uhalisia wake.
hawatakuwa na lolote labda chanel ten ndiyo niliona wana matukio mhimu na nimeona hawaweki upendeleo
 
JK wants to pre empt what ITV has aired since yesterday DOWANS Payment Saga and..... a successful and fascinating debate on New constitution today.... for your info today's debate airtime was awarded free by ITV
 
Kimsingi ni chombo cha wananchi lakini kimekuwa kikitumiwa na CCM zaidi kwamanufaa ya mafisadi, Tido alijaribu kuwa na misimamo lakini waka mmwanga....

Kwa hiyo serikari wamekibinafsisha kweli nchi hii inatawaliwa kimabavu yaaani wameua viwanda na makampuni na vilivyobaki wamevifanya vya kwao na sio wananchi tena hivi hii nchi tunakwenda wapi?
 
Uchakachuaji huu umezidi. Hivi vyombo vya habari vilivyokuwepo vitakubali taarifa zao kuchakachuliwa na TV moja? WanaJF, mbona siku ile tuliambiwa walikuwepo TBC1, CHN10,ITV,STARTV, BBC, etc, sasa iweje wachakachue??????? Siamini!! Tusubiri!!
 
TBC MNI WAHUNI!!!! siku ile baada ya kutoka Zanzibar kwenye maadhimisho ya mapinduzi yao wakarudisha studio na kuweka mapicha ya shida za wakimbizi craaaaaaaaaaaaaaaaapppppppppp!.
 
Nimeona Tangazo TBC kwamba kutakuwa na kipindi Maalumu saa 2:30usiku kuhusu kilichotokea Arusha.
Naamini ni habari wanayotaka kutulisha baada yakufanya editing yakutosha ili kuhalalisha Mauaji waliyoyafanya Arusha.Wadau tufuatilie mida hiyo natutoe Tathmini zetu juu ya Uhalisia wake.

Tatizo TBC wamebiased kwa ccm, hata mtu akipiga simu kuchangia hawakuweki hewani, wanakurekodi kwanza, wakiona umetoa mchango wa kuifagilia ccm wanarusha hewani, ama ukiiponda ccm na kuifagilia chadema ujue msg yako itakuwa imetupwa kwenye recycle bin.
 
Uchakachuaji huu umezidi. Hivi vyombo vya habari vilivyokuwepo vitakubali taarifa zao kuchakachuliwa na TV moja? WanaJF, mbona siku ile tuliambiwa walikuwepo TBC1, CHN10,ITV,STARTV, BBC, etc, sasa iweje wachakachue??????? Siamini!! Tusubiri!!
Wewe unakanganya mambo.
Unaongelea siku ya kuaga miili ya wapambanaji, wakati mleta mada anaongelea ZAIDI kuanzia siku ya mauaji/maandamano!

Video ya siku ya maombolezo haiwezi kuchakachuliwa kwa namna yoyote, lakini ya siku ya MAUAJI inaweza kufanyiwa maarifa ili kuiosha serikali ya CCM iliyofanya mauaji kupitia jeshi la polisi!!
 
I advice you wait and see first before concluding on ground of your expectations
 
Ngereja kesha chakachua meme ariifuu!!;vipi wamechakachua hiyo Riji ripoti Lao ?!
 
hawa ni wachakachuaji mbona ile scene anayopigwa mke wa slaa haijaonyeshwa na pia ile scene ya kupasuliwa vyoo iliyofanywa na polisi haijaonyeshwa--these are true liers
 
Wapenzi wa JF jeshi la Polisi limetoa kipindi maalumu ya tukio la vurugu zilitokea Arusha. Imekuwa ni makala maalumu lakini ambayo lengo lako ni kujulisha ulimwengu hali halisi iliyojitokeza. Naona kipindi ndiyo kimekwisha hivyo nawakilisha kwa ajili ya kujadili kipindi hicho kwa waliokioona.

Source TBC1 Kipindi maalumu mara baada ya taarifa ya habari.
 
Back
Top Bottom