TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

Sijakiona kipindi umeme metii;Kipi jipya labda kwa mtazamo wako ewe uliekiona hicho maalum kipindi?!
 
Ni dokumentari nzuri inayoangalia upande wa pili wa shilingi.
Mfano kauli za slaa na ndesa kuwataka watu kuvamia kituo cha polisi nk
 
Hamna ukweli wowote hata Kichaa hawezi kukubaliana na huu Usanii:Kwenye Taarifa za Habari 2lishuhudia Jinsi Askari walivyo vamia lile Gari nakuanza kuponda Virungu vioo hadi dereva alipoamua kuchomoa Gari kusalimisha Usalama wake hapo tunaonyeshwa picha Mgando ya Gari tu,Huu ni Upuuzi mwingine kama Puuzi tulizo zizoea.
 
Natamani kuu............................:Cry:fc TBC
 
Nimeona upotoshaji ulio fanywa na serikali kupitia TBC1 hawajaonyesha mambo mhimu ambayo yanaonyesha polisi hawa kutumia busara hata kidogo kwa mfano...Walipo wakamata mbowe na wenzake, walipo piga mabomu NMC, walipo mpiga mchumba wa Dr. walipo piga na kubomoa kioo cha gari,....... wasidhani kufanya hivyo ndio tutawapenda wasijue chuki dhidi yao ina ongezeka sana......wame msema DR. kwenye redio Uhuru baada ya taarifa ya habari wameona haitoshi......

Hata wajitetee vipi haiwezekani watu wenye hasira na uchungu walio waaga mashujaa pale NMC wasilete vurugu wakati polisi hawapo ila walete vurugu walipo kuwa wanaafanya maandamano ya amani.......hapo wamesha jichafua hawawezi kusafishika hata kwa jik
 
Hamna ukweli wowote hata Kichaa hawezi kukubaliana na huu Usanii:Kwenye Taarifa za Habari 2lishuhudia Jinsi Askari walivyo vamia lile Gari nakuanza kuponda Virungu vioo hadi dereva alipoamua kuchomoa Gari kusalimisha Usalama wake hapo tunaonyeshwa picha Mgando ya Gari tu,Huu ni Upuuzi mwingine kama Puuzi tulizo zizoea.

Mkuu vp kuhusu zile kauli unaona zimekaa vizuri kweli?
 
Nikweli polisi waliua watu halina ubishi lakini vipi na kauli za akina slaa kuhusu uvamizi?
 
Sijakiona kipindi umeme metii;Kipi jipya labda kwa mtazamo wako ewe uliekiona hicho maalum kipindi?!
Wameonyesha sehemu ambazo zinawasupport kuwa kwa nini walizuia maandamano yale.

  1. Wameeleza kuwa sababu moja ya kuzuia maandamano yale ni barabara ambazo yale maandamano yangepitia ni muhimu na hivyo kama ingetokea vurugu basi madhara yake yangekuwa mabaya na yangeweza kusambaa mji mzima.
  2. Ndesamburo alipokuwa anasema JK Ndesamburi kweli nimepigwa na vijaa wako basi naona huzijui vurugu za Ndesamburo. Pia walionuesha sehemu ambayo Dr. Slaa akisema wakiamua nchi hii wakiamua isitawalike wanaweza na haitatawalika. Zaidi ya yote ni ile kauli ya Dr Slaa kuhamasisha wafuasi wake waende kituo cha polisi kuwaoa viongozi na watu waliokamatwa na polisi
  3. Mwisho na mapambano yalivyokuwa lengo kati ya wafuasi wa CDM na polisi bila kuacha jengo la CCM lilivyoharibiwa.
Hayo ndiyo makuu waliyoyaonyesha na mahojiano sehemu kadhaa ya viongozi wa polisi akiwemo Andengenye na Mgonja.
 
Nikweli polisi waliua watu halina ubishi lakini vipi na kauli za akina slaa kuhusu uvamizi?

Nikweli polisi waliua watu halina ubishi..................

ishia hapohapo!!

Na hapo ndo mtajua kuwa hatutawaliki tena WaTz kwa mtindo huo
 
Hii TBC na Mafisadi wanataka kutonesha vidonda vya wana Arusha? Hivi ni nani ameaandaa kitu kama hicho hakika Sasa naamini Viongozi wa Tanzania ni Wapumbavu.
Wameonyesha sehemu ambazo zinawasupport kuwa kwa nini walizuia maandamano yale.

  1. Wameeleza kuwa sababu moja ya kuzuia maandamano yale ni barabara ambazo yale maandamano yangepitia ni muhimu na hivyo kama ingetokea vurugu basi madhara yake yangekuwa mabaya na yangeweza kusambaa mji mzima.
  2. Ndesamburo alipokuwa anasema JK Ndesamburi kweli nimepigwa na vijaa wako basi naona huzijui vurugu za Ndesamburo. Pia walionuesha sehemu ambayo Dr. Slaa akisema wakiamua nchi hii wakiamua isitawalike wanaweza na haitatawalika. Zaidi ya yote ni ile kauli ya Dr Slaa kuhamasisha wafuasi wake waende kituo cha polisi kuwaoa viongozi na watu waliokamatwa na polisi
  3. Mwisho na mapambano yalivyokuwa lengo kati ya wafuasi wa CDM na polisi bila kuacha jengo la CCM lilivyoharibiwa.
Hayo ndiyo makuu waliyoyaonyesha na mahojiano sehemu kadhaa ya viongozi wa polisi akiwemo Andengenye na Mgonja.
 
Wameonyesha sehemu ambazo zinawasupport kuwa kwa nini walizuia maandamano yale.

  1. Wameeleza kuwa sababu moja ya kuzuia maandamano yale ni barabara ambazo yale maandamano yangepitia ni muhimu na hivyo kama ingetokea vurugu basi madhara yake yangekuwa mabaya na yangeweza kusambaa mji mzima.
  2. Ndesamburo alipokuwa anasema JK Ndesamburi kweli nimepigwa na vijaa wako basi naona huzijui vurugu za Ndesamburo. Pia walionuesha sehemu ambayo Dr. Slaa akisema wakiamua nchi hii wakiamua isitawalike wanaweza na haitatawalika. Zaidi ya yote ni ile kauli ya Dr Slaa kuhamasisha wafuasi wake waende kituo cha polisi kuwaoa viongozi na watu waliokamatwa na polisi
  3. Mwisho na mapambano yalivyokuwa lengo kati ya wafuasi wa CDM na polisi bila kuacha jengo la CCM lilivyoharibiwa.
Hayo ndiyo makuu waliyoyaonyesha na mahojiano sehemu kadhaa ya viongozi wa polisi akiwemo Andengenye na Mgonja.

wanajikosha kwa mabalozi.

nchi ya omba-omba.

watuwekee na huo wa kiingereza basi.
 
Back
Top Bottom