TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

..........
That goal must be achieved by all means even by killing innocent people.....

it obvious you are oblivious to the situation. Do you have any idea as to where the Kenyan was or Denis Shirima when they were short dead? Or it just pleases you write. If I may ask who killed who?
 
The source is a bunch of opportunistic armature politicians who incited their followers to disobey a lawful order.
Their evil agenda is to gain political and financial mileage by exploiting disadvantaged youth.
That goal must be achieved by all means even by killing innocent people.

I hope now you know!
Pole sana Bwana Kishongo, ushabiki wako unakufanya usiwe na akili ya kufikiri. Polisi wamepiga marafuku maandamo kwa sababu eti taarifa za 'kiintelijensia' thats all!! je sababu hiyo ina mashiko kweli? Kama ni kweli kwa nini wasingeanika uovu huo wa chadema publically ili wananchi tujue uovu wa chadema? I totally disagree with you that chadema disobey a lawful order. And for you information that order was politically motivated.
Kwa nini polisi wanakosa taarifa za 'kiintelijensia' kuhusu ufisadi ambazo ziko wazi na hivyo kutoa order ya kuwakamata akina RA,EL nk? lakini taarifa za uongo zinapatikana za kuwakandamiza wapinzani simply because wanataka kuandamana kwa amani!!
Tanzanian laws are so relaxed kwa CCM(MAFISADI) na hii ndo itakayo lete maafa makubwa kwa taifa siku za usoni. UMEWAHI KUONA WAPI SHERIA ZINAKUWA BIASED KIASI HICHO?
 
enzi ya zidumu fikra za mwenyekiti zimepitwa na wakati! fikra zitadumu kama zina mantiki! bahati nzuri matukio ya ar yalipotiwa vzr mno kutuwezesha kuelewa nn kilichoendelea!
 
Wameonyesha sehemu ambazo zinawasupport kuwa kwa nini walizuia maandamano yale.

  1. Wameeleza kuwa sababu moja ya kuzuia maandamano yale ni barabara ambazo yale maandamano yangepitia ni muhimu na hivyo kama ingetokea vurugu basi madhara yake yangekuwa mabaya na yangeweza kusambaa mji mzima.

  1. Wanazungumzia kama ingetokea vurugu, kwani intelijensia maana yake ilikuwa nini iwapo leo wanatumia neno "KAMA". Kwa hiyo tulichoambiwa na IGP haikuwa taarifa za kiintelijensia bali ilikuwa HOFU. Kwa msingi huo hatuna jeshi la polisi.

    WanaJF hakuna ambaye anaweza kupata mkanda original toka chanel 10 ili ukweli uanikwe zaidi?? Au wame-confiscate mikanda ya media houses zote??

    Shame on IGP na walamba viatu wake
 
kwa walichofanya pale na ile sinema yao kwa mwenye akili timamu ataelewa mipango yao iliyofanywa na polisi na serikali,ila watambue hawawezi kudanganya watu wa kizazi cha leo kisichodanganyika.
Sasa sitoshangaa mchakachuaji mkuu aka kubwa la maadui aka mlinda mafisadi akatoa kauli.
kumbukeni hata wakisema wawaue au kuwafunga viongozi wa chadema,sio dawa ya kuzuia mabadiliko hata chembe.
 
Pongezi nyingi kwa TBC kwa kutuonyesha ukweli halisi kwa matukio yalio tokea Arusha....

Ndessamburo ni mzee mwenye hulika za kihuni, uwezi sema eti nchi haiwezi tawalika kisa umepingwa mabomu... Ulipo sema unawataka viongozi walio kamatwa uwanjani kabla ya kumalizika kwa mkutano ulikuwa una maanisha kitu gani kwa wahuni wa Arusha?

Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa hatua walizochukua ndio ilikuwa stahili yao.
 
pongezi nyingi kwa tbc kwa kutuonyesha ukweli halisi kwa matukio yalio tokea arusha....

Ndessamburo ni mzee mwenye hulika za kihuni, uwezi sema eti nchi haiwezi tawalika kisa umepingwa mabomu... Ulipo sema unawataka viongozi walio kamatwa uwanjani kabla ya kumalizika kwa mkutano ulikuwa una maanisha kitu gani kwa wahuni wa arusha?

Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa hatua walizochukua ndio ilikuwa stahili yao.

scum
 
The source is a bunch of opportunistic armature politicians who incited their followers to disobey a lawful order.
Their evil agenda is to gain political and financial mileage by exploiting disadvantaged youth.
That goal must be achieved by all means even by killing innocent people.

I hope now you know!

hey Mr.After-no-good, YOU ARE TRYING WAY TOO HARD! kamwambie MAKAMBA kazi aliyokupa ni bora ya suicide bombing, sucjatxapumbul (that's 'regards' in xokagongwebra language)
 
Nimeangalia, pamoja na kuficha mengine, bado wanachi wanatakiwa kutii vyombo vya dola, iwe dola ya ccm au chadema au cuf au ppt. kumbuka wao wanaenda na wamelelewa kufanya kazi kwa amri, na ukizingatia mawe yalirushwa kuwashambulia police, hata hasira za kawaida zingemfanya mwanadamu huyu aliyevaa kombati apige! ndio

nikweli,tukumbuke hata polis nao ni binadamu.
 
TBC ni genge la wahuni ambao wanatumiwa na rais Mwizi hawapo kwa maslahi ya Watanzania bali Mafisadi. swala hilo walitakiwa kulifanyia coverage LIVE sio kuja na propaganda. Anyway waacheni wajisumbue kwa sababu Watanzania wamekwisha amka wao wanachukua shuka asubuhi.
 
TBC ni chombo cha ccm hawana jipya bali walikuwa wanajikosha baada ya kuchakachua video.Haisaidii kitu hata wakijikosha kwani lawama zote ni lazima wazibebe police
 
TBC ni genge la wahuni ambao wanatumiwa na rais Mwizi hawapo kwa maslahi ya Watanzania bali Mafisadi. swala hilo walitakiwa kulifanyia coverage LIVE sio kuja na propaganda. Anyway waacheni wajisumbue kwa sababu Watanzania wamekwisha amka wao wanachukua shuka asubuhi.

Hivi TBC leo wamekuwa genge la wahuni? Kwa nini watu Wachadema hampendi kuambiwa ukweli?
Hatuwezi kufika popote kwa style hii.
 
Hivi TBC leo wamekuwa genge la wahuni? Kwa nini watu Wachadema hampendi kuambiwa ukweli?
Hatuwezi kufika popote kwa style hii.

pole!!,wasiotaka kuambiwa ukweli ni ccm mpaka wanafikia hatua ya kuua!!!!,kama kama kukiwa na maandamano ya kujisifu ccm rukhsa!!!,kama ni maandamano ya kuambiwa ukweli wao mabomu!!nani asiyetaka kuambiwa ukweli!!!,au picha za kuedit ndiyo unasema ukweli?,ni lini maandamano yamewai kuleta fujo kama hayajaingiliwa na polisi?

tujaribu kuwa wakweli viongozi wa afrika uwa wanachukulia masuala ya uongozi kama familia,na wanaoongozwa kama hawana akili,na siamini kama mtu unayetetea udhaifu wao si mmoja wao au umetumwa.
 
Hivi TBC leo wamekuwa genge la wahuni? Kwa nini watu Wachadema hampendi kuambiwa ukweli?
Hatuwezi kufika popote kwa style hii.

Nina uhakika leo hii CDM wapo tayari kwa mdahalo kuhusu suala la Arusha. Je, CCM na polisi yao wapo tayari????
 
CDM nao wapewe airtym based on TBC questions. otherwise CDM weka matukio yote ya Arusha kwenye CD bila kuedit. Mutauza kukijengea chama uwezo na pia kutupa ujasiri.
 
pongezi nyingi kwa tbc kwa kutuonyesha ukweli halisi kwa matukio yalio tokea arusha....

Ndessamburo ni mzee mwenye hulika za kihuni, uwezi sema eti nchi haiwezi tawalika kisa umepingwa mabomu... Ulipo sema unawataka viongozi walio kamatwa uwanjani kabla ya kumalizika kwa mkutano ulikuwa una maanisha kitu gani kwa wahuni wa arusha?

Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa hatua walizochukua ndio ilikuwa stahili yao.
si kutegeme kama na wewe unaweza kupongeza uhuni wa jeshi la polisi. Kwa nini mwema asituambie hiyo intelijesia? Ili tuwe na uhakika anachokisema?
 
Back
Top Bottom