Tbc yawavaa waislam

Status
Not open for further replies.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
TBC Wameomba radhi waislam baada ya kudai wakiristo ni wengi kuliko waislam.

lkn waislam wamesema TBC watangaze hadharani kupitia tarifa ya habari na sio kwa kutumia barua kama livyofanya
 
Kichwa cha habari hakiendani na content!
Mi nilitegemea useme WAISLAMU WAIVAA TBC!
 
TBC Wameomba radhi waislam baada ya kudai wakiristo ni wengi kuliko waislam.

lkn waislam wamesema TBC watangaze hadharani kupitia tarifa ya habari na sio kwa kutumia barua kama livyofanya

Tanzania wakristo ni wengi sana kuliko wafuasi wa Mudy guy.
 
hivi mtu akija akisema budha wengi kuliko wahindu inakuathiri wewe budha ua hindu?
muwe wengi au wachache inawapunguzia au kuwaongezea nini?
huyu anayepandikiza udini kwenye vichwa vya watu anafanya kazi nzuri sana...ningemjua ningemnunulia kinywaji kwa kweli...
 
Tuipeni HESHIMA JF, mtu anakurupuka na uchochezi wa ajabu hana hata source wala evidence ya barua hiyo,
Mods fanyeni kazi zenu kulinda hadhi ya JF,
 
TBC Wameomba radhi waislam baada ya kudai wakiristo ni wengi kuliko waislam.

lkn waislam wamesema TBC watangaze hadharani kupitia tarifa ya habari na sio kwa kutumia barua kama livyofanya

Unataka ushahidi sio? Huu hapa chini na uelewe uislam uko pwani tu.

[h=1]Christianity in Tanzania[/h]From Wikipedia, the free encyclopedia



2nd Catholic church in Bagamoyo, Tanaznia

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population ofTanzania is Christian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious groups.[SUP][1][/SUP] The CIA World Factbook however states that 30% of the population is Christian with Muslim being 35% and indigenous beliefs 35%.[SUP][2][/SUP]
The Christian population of Tanzania is mostly composed of Roman Catholics,Lutherans and Anglicans, Pentecostals, Seventh-day Adventists, members of The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints (Mormons), and Jehovah's Witnesses.[SUP][3][/SUP]



website hii hapo click tu. Christianity in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mbona JF ya siku hizi ina watu wanaoendekeza sana udini...!
 
Mbona JF ya siku hizi ina watu wanaoendekeza sana udini...!

Kwa sababu DINI ndio karata pekee iliyobkia ya wanasiasa kuombea kura, sera hazitekelezeki. huoni wachungaji wamekimbilia bungeni? na bado wanaongoza katika ibada? unafikili mwananchi masikini wa kawaida (mtoa sadaka) ataweza kutofautishahilo!!!!!!!
 
sio jf ila wafuasi wa mtume walioko jf ndio wanaendekeza hilo swala.
shukrani. Ccm walisema jf ni ya chadema. Lkn ukiangalia jf wapenzi wake wengi ni wakiristo wa msimamo mkali. Ni wazi chadema ni janga la taifa
 
Mods tumechoka sasa na thread za kidini kama hzi so ni vyema mkaziamishia kwenye jukwaa la dini kule. Eboooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom