TBC na vyama vya upinzani, nini kinaendelea?

emmathy

Senior Member
Sep 22, 2010
147
25
Leo nimeona tofauti iliyokuwepo kati ya chama tawala na vyama vya upinzani kupitia TBC. Katika taarifa zake za jioni hii ya tarehe 19Febr 2012 wameonyesha katibu wa itikadi na uwenez CCM N.N, akiwa katika moja ya misa akiwaasa vingoz wa dini kukemea mabaya n.k, na vile vile wamemuonyesha katibu wa vijana ccm taifa ndg Shigela akiwa kigoma akiwaasa vijana kutokutumika na viongozi wa juu kufikia malengo yao binafsi.

Huku kwetu Tanga yupo Naibu katibu mkuu
CHADEMA ZITO, mkurugenzi wa habari CHADEMA MNYIKA, pamoja na Mwenyekiti wa vijana taifa CHADEMA bwana HECHE , ambao kimtazmo uzito wao na sawa na viongozi hao wa CCM niliowataja kama sikuwazidi. Hakuna taarifa ya CHADEMA iliyoripotiwa juu yakile wanachokifanya kama vile ambavyo wameripoti kwa CCM.

Je TBC ambayo ni television ya Taifa, inatumia vigezo gani kutangaza habari katika television ambayo wananchi wote tunaichangia ktk uendeshaji wake kupitia kodi zetu? Ni mtazamo tu, tutafakari.
 
Siyo mtazamo Mkuu huo ndio ukweli. Tbc ni mali ya ccm siyo mali ya watanzania.
 
Mi nataka kuwapeleka mahakamani,kama kunamwanasheria naomba ushauri .
 
Ndo maana wamemwondoa TIDO MHANDO kwa vile aliruhusu mchakato majimboni,halafu sijuwi yule mtangazaji wamemficha wapi?
Mchakato majimboni utakuwa umemugalimu. Pole ndugu yangu huko uliko, nakuombea uzima tu.
 
poor CHADEMA... WAMEDODA NIWAKATI WA KUFANYA MATUMIZI MAZURI KWENYE RUZUKU SIO KUWANUNULIA MAGARI KINA JOSEPHINE MUMSHUMBUSHU. ANAENDESHA HARIER INA CC 3500.YANI KWA RUTI MOJA KUTOKA POST TO MWENYE MAFUTA YA ELFU 50 YAMEKWISHA
 
hawa jamaa wai elewa tushawaelewa ni wazee wa ku costomeze habari hususani za CDM,wacheck wasije wakafikia kama KBC ya kenya ilivyokuwa inaipendelea KANU leo jamaa wako wapi...ni bora wajali taaluma zaidi kuliko wanavyofanya kwani haki siku zote hushinda dhuluma...magamb..a is nearly to fall
 
poor CHADEMA... WAMEDODA NIWAKATI WA KUFANYA MATUMIZI MAZURI KWENYE RUZUKU SIO KUWANUNULIA MAGARI KINA JOSEPHINE MUMSHUMBUSHU. ANAENDESHA HARIER INA CC 3500.YANI KWA RUTI MOJA KUTOKA POST TO MWENYE MAFUTA YA ELFU 50 YAMEKWISHA

Mkuu hapo kwenye rangi nyeusi ulikuwa unamaanisha Posta to Mwenge au? Lakini pia tuache majungu,gari aina ya Harrier wanamiliki watu wa kawaida sana na ni gari ya watu wa kawaida sana.Si gari ya kusema kuwa inagharama kubwa kuimiliki.Mafanyakazi wa umma mwenye mshahara wa kawaida anaweza endesha na kuimiliki Harrier.Wakati mwingine tuache chuki binafsi na watu,kauli kuwa CDM ndio wamemnunulia Mama Slaa gari aina ya Harrier ikitolewa na watu kama wewe hapa JF inatia hasira na huzuni kubwa.Sidhani kama Dr Slaa atashindwa kununua gari ya milioni 16 kama akipenda.Wewe unataka kutuhaminisha kuwa Harrier ni gari la kifahari kitu ambacho si kweli.
 
masahihisho nimeshayafanya gari ya harrier lexus ni cc zaidi ya 3000 ndilo analoendesha mama slaa ukichanganya na mapouder ya mama slaa wacha kabisa.waangalie viti maalum wa cCHADEMA wanavyoshindana kujipodoa na kuvaaa ma wigi ya UK we galaga baho
 
Mwambie bana inaonekana hata bei za magari hajui hata matumizi ya gari pia haiwezekani kwakilometa hizo ile mafuta haya hata yakiuzwa 5000 kwa lta.huyu mt kaamua kuchafua haliyahewahumu.
 
masahihisho nimeshayafanya gari ya harrier lexus ni cc zaidi ya 3000 ndilo analoendesha mama slaa ukichanganya na mapouder ya mama slaa wacha kabisa.waangalie viti maalum wa cCHADEMA wanavyoshindana kujipodoa na kuvaaa ma wigi ya UK we galaga baho

Tueleze na magari wanayotumia wenzako magamba ni ya aina gani pia umeganda kwenye gari na pouwder tu kwa mama slaa huoni hata aibu?
 
View attachment 47690tatizo lenu wana chadema lazima kila kitu mbishane ata kama ni cha kweli kitu icho apotoyota harier cc 3700.anachoendesha mama slaa alafu unasema ruzuku hazitoshi

Mbona unakuwa kama MWANAMKE ALIYEOLEWA NDOA YA MITALA!! Josephine kuendesha Harrier has nothing to do with this. Topic ni TBC kuonyesha matukio ya chama tawala na kutoonyesha ya vyama vya upinzani wakati wanatumia kodi ya watanzania wote. Haya mengine anzisha thread yake.
 
Kweli Harrier ni gari ya kawaida kwani hata mimi ni mtu wa kawaida lakini ninamilki aina hiyo ya gari
 
Back
Top Bottom