TBC na vyama vya upinzani, nini kinaendelea?

masahihisho nimeshayafanya gari ya harrier lexus ni cc zaidi ya 3000 ndilo analoendesha mama slaa ukichanganya na mapouder ya mama slaa wacha kabisa.waangalie viti maalum wa cCHADEMA wanavyoshindana kujipodoa na kuvaaa ma wigi ya UK we galaga baho

This Sounds Like None sense!! Poor My Dear!! Uwezo wako wa Kufikiri Umefika Mwisho? Ulitaka Atembelee Bajaj? au Bajaza!! To discuss people always Means Shallow Minded!!
 
poor CHADEMA... WAMEDODA NIWAKATI WA KUFANYA MATUMIZI MAZURI KWENYE RUZUKU SIO KUWANUNULIA MAGARI KINA JOSEPHINE MUMSHUMBUSHU. ANAENDESHA HARIER INA CC 3500.YANI KWA RUTI MOJA KUTOKA POST TO MWENYE MAFUTA YA ELFU 50 YAMEKWISHA
kati ya watu hovyo ni wewe. Badala yakujadili maswala unajadili mtu? Shame on u. Mada hapa niuwiano sawa kwa vyama vyote ww unazungumzia mke wa mtu? Huwez kuwa great thinker hata cku moja. Ccm inaona kama ina hati milik na hi nchi ndo maana umekumbatia majengo viwanja ambavyo kabla ya vyama ving vilikuwa mali ya watanzania leo wamevifanya ni mali yao hata tbc wamemuoodoa tido ili waitumie wapendavyo. KIAMA CHAO KINAKUJA
 
Mkuu hapo kwenye rangi nyeusi ulikuwa unamaanisha Posta to Mwenge au? Lakini pia tuache majungu,gari aina ya Harrier wanamiliki watu wa kawaida sana na ni gari ya watu wa kawaida sana.Si gari ya kusema kuwa inagharama kubwa kuimiliki.Mafanyakazi wa umma mwenye mshahara wa kawaida anaweza endesha na kuimiliki Harrier.Wakati mwingine tuache chuki binafsi na watu,kauli kuwa CDM ndio wamemnunulia Mama Slaa gari aina ya Harrier ikitolewa na watu kama wewe hapa JF inatia hasira na huzuni kubwa.Sidhani kama Dr Slaa atashindwa kununua gari ya milioni 16 kama akipenda.Wewe u
nataka kutuhaminisha kuwa Harrier ni gari la kifahari kitu ambacho si kweli.
Usitudanganye watu wazima...Gari ya kifahari siyo lazima iwe Audi , BMW, Jaguar, Lexus LS, Mercedes-Benz, VW,Cadillac,Rolls Royce, Bentley, Aston Martin, Maybach, Maserati...soma classes za luxury hapa chini kwa ufahamu zaidi!
- Entry-level luxury/compact executive cars.
- Mid-luxury/executive cars
- High-end luxury/full-size luxury cars
- Ultra-luxury cars
- Luxury SUV/Crossover
 
poor CHADEMA... WAMEDODA NIWAKATI WA KUFANYA MATUMIZI MAZURI KWENYE RUZUKU SIO KUWANUNULIA MAGARI KINA JOSEPHINE MUMSHUMBUSHU. ANAENDESHA HARIER INA CC 3500.YANI KWA RUTI MOJA KUTOKA POST TO MWENYE MAFUTA YA ELFU 50 YAMEKWISHA

nazani bangi unazovuta zina kupelekesha. Jitu zima limekalia umbea na fitina! Chunga sana kijana ukienda tanga utaolewa bila mahali. Mwehu mkubwaaa
 
Leo nimeona tofauti iliyokuwepo kati ya chama tawala na vyama vya upinzani kupitia TBC. Katika taarifa zake za jioni hii ya tarehe 19febr 2012 wameonyesha katibu wa itikadi na uwenez ccm N.N, akiwa katika moja ya misa akiwaasa vingoz wa dini kukemea mabaya n.k, na vile vile wamemuonyesha katibu wa vijana ccm taifa ndg Shigela akiwa kigoma akiwaasa vijana kutokutumika na viongozi wa juu kufikia malengo yao binafsi.
Huku kwetu Tanga yupo Naibu katibu mkuu CDM ZITO, mkurugenzi wa habari CDM MNYIKA, pamoja na Mwenyekiti wa vijana taifa CDM bwana HECHE , ambao kimtazmo uzito wao na sawa na viongozi hao wa ccm niliowataja kama sikuwazidi. Hakuna taarifa ya CDM iliyoripotiwa juu yakile wanachokifanya kama vile ambavyo wameripoti kwa ccm.
Je TBC ambayo ni television ya Taifa, inatumia vigezo gani kutangaza habari katika television ambayo wananchi wote tunaichangia ktk uendeshaji wake kupitia kodi zetu? Ni mtazamo tu, tutafakari,

Nchi hii inahitaji ukombozi mwingine.

mambo yote/mali zote zilizoanzishwa na kuchangiwa kuwepo kwake na wananchi, baada ya kutangaza mfumo wa vyama vingi, CCM walijibinafishia mali hizo. Tunataka kiongozi ambaye atarejesha mali hizo kwa wananchi, ili zitumike kwa manufaa ya wananchi na sio CCM.

Mtu akifikiria pesa zinazotumika kwenye uchaguzi, CCM wanatumia pesa nyingi sana, hali hii inatokana na tozo wanazozipata kupitia miradi mbalimbali iliyoanzishwa na kuchangiwa na wananchi lakini CCM wameigeuza kuwa mali zao.

baadhi ya mali hizo ni:

1. Media Industry
2. Viwanja vya mipira na burudani.
3. Majengo
4. kumbi za starehe.

picha ifuatayo, ni jengo la CCM mkoa wa mwanza. Tunahitaji pamoja na mambo mengine, yarudishwe kwa umma.

ccm2.jpg
 
nazani bangi unazovuta zina kupelekesha. Jitu zima limekalia umbea na fitina! Chunga sana kijana ukienda tanga utaolewa bila mahali. Mwehu mkubwaaa

kanunuliwa na CDM au na mme wake? Slaa anaweza kununua gari hilo bwana,
 
Usitudanganye watu wazima...Gari ya kifahari siyo lazima iwe Audi , BMW, Jaguar, Lexus LS, Mercedes-Benz, VW,Cadillac,Rolls Royce, Bentley, Aston Martin, Maybach, Maserati...soma classes za luxury hapa chini kwa ufahamu zaidi!
- Entry-level luxury/compact executive cars.
- Mid-luxury/executive cars
- High-end luxury/full-size luxury cars
- Ultra-luxury cars
- Luxury SUV/Crossover

Rejao hapo hujaeleweka hasa kwa sisi ambao BMW na MESIDZ BENZ tunaita TAX. Harrier gari inafahamika kwa wengi kwani ziko sokoni tena sana. je, inakunywa kiasi hicho cha posta kimara 50,000/-?
 
watu wengine matatizo matupu..inamaana sote tuhame tuanze kuyajadili magari ya wake za watu kama mke wa pinda,mke wa Bulicheka(mama mwanaasha) mke wa lizwani, mke wa lipumba!! Tuache mada ya TBC na upinzani!? Shame on you!! Jiangalie bwana mdogo!
 
masahihisho nimeshayafanya gari ya harrier lexus ni cc zaidi ya 3000 ndilo analoendesha mama slaa ukichanganya na mapouder ya mama slaa wacha kabisa.waangalie viti maalum wa cCHADEMA wanavyoshindana kujipodoa na kuvaaa ma wigi ya UK we galaga baho
Kumbe tuna mtaalam wa magari humu, ukiyaona tu unauwezo wa kuelewa kuwa ni cc ngapi! Nyie ndio watu mnaosimamaga posta na kutazama magari na kuanza kujifanya kuwaelezea watu jinsi mnavyo yafahamu! Kifupi, Washamba wa dizaini hiyo, hapa mjini wapo wengi mno!
 
yaani wajitu mingine bana,inapotosha watu ile mbaya,harrier yenyewe ni ya mtumba huwezi compare hata kidogo na magamba wenye anayenunua gari jipya kabisa la land cruiser gx,au vx,hela ya vx utapata harrier 10,sasa yupi ni fisadi?
 
mpaka hili jinamizi la chama kimoja litutoke, nazidi kuamini kilichomkuta Tido, inakera
 
Rejao hapo hujaeleweka hasa kwa sisi ambao BMW na MESIDZ BENZ tunaita TAX. Harrier gari inafahamika kwa wengi kwani ziko sokoni tena sana. je, inakunywa kiasi hicho cha posta kimara 50,000/-?
Kwa Harrier cc 3000 ambayo ni full time 4WD kutoka Kimara mpaka posta kwenda na kurudi unatumia mafuta ya zaidi ya tsh 20,000/=
 
masahihisho nimeshayafanya gari ya harrier lexus ni cc zaidi ya 3000 ndilo analoendesha mama slaa ukichanganya na mapouder ya mama slaa wacha kabisa.waangalie viti maalum wa cCHADEMA wanavyoshindana kujipodoa na kuvaaa ma wigi ya UK we galaga baho
We kunakitu unatafuta, mawigi na siasa wapi na wapi, uchakavu wa sera huo
 
Mbona unakuwa kama MWANAMKE ALIYEOLEWA NDOA YA MITALA!! Josephine kuendesha Harrier has nothing to do with this. Topic ni TBC kuonyesha matukio ya chama tawala na kutoonyesha ya vyama vya upinzani wakati wanatumia kodi ya watanzania wote. Haya mengine anzisha thread yake.

Mi nadhani hoja ni TBC na urushaji wake matangazo, haya ya magari yametokea wapi?
 
poor CHADEMA... WAMEDODA NIWAKATI WA KUFANYA MATUMIZI MAZURI KWENYE RUZUKU SIO KUWANUNULIA MAGARI KINA JOSEPHINE MUMSHUMBUSHU. ANAENDESHA HARIER INA CC 3500.YANI KWA RUTI MOJA KUTOKA POST TO MWENYE MAFUTA YA ELFU 50 YAMEKWISHA

Yale yale ya Hiace tatu na migomba kule Mara! Hapo ndo mlikofikishwa nyie tugamba tudogomnaoambulia makombo.
 
Usitudanganye watu wazima...Gari ya kifahari siyo lazima iwe Audi , BMW, Jaguar, Lexus LS, Mercedes-Benz, VW,Cadillac,Rolls Royce, Bentley, Aston Martin, Maybach, Maserati...soma classes za luxury hapa chini kwa ufahamu zaidi!
- Entry-level luxury/compact executive cars.
- Mid-luxury/executive cars
- High-end luxury/full-size luxury cars
- Ultra-luxury cars
- Luxury SUV/Crossover

Rejao ni mpu_zi kweli wewe!! Yani wewe ni maskini wa mawazo na kufikiri,kwa umri wako bado unaamini kuwa Harrier ni gari ya kifahari? Au kwasababu anamiliki Mama Slaa ndio unakuja na hoja zao uharo hapa.Yani na umri wako huo,na watoto wako saba ulionao,na yule mke wako unadiriki kujitokeza kusema kuwa harrier ni gari la kifahari? Tuache siasa majitaka,tuwe tayari kujadili mambo kwa upana wake na kwa utashi.Sio kwasababu anamiliki mtu wa CDM ndio uje na mapovu yako mdomoni unaongea tuuu na kuhara hara hapa JF kama bata...shit!!
 
kwa harrier cc 3000 ambayo ni full time 4wd kutoka kimara mpaka posta kwenda na kurudi unatumia mafuta ya zaidi ya tsh 20,000/=

kwa hiyo jamaa kadanganya. Anasema 50,000/- sasa kwani slaa anashindwa kununua mafuta hayo kwa ajili ya wife kwenda job?
 
Back
Top Bottom