TBC na vyama vya upinzani, nini kinaendelea?

Kwa Harrier cc 3000 ambayo ni full time 4WD kutoka Kimara mpaka posta kwenda na kurudi unatumia mafuta ya zaidi ya tsh 20,000/=
images
 
masahihisho nimeshayafanya gari ya harrier lexus ni cc zaidi ya 3000 ndilo analoendesha mama slaa ukichanganya na mapouder ya mama slaa wacha kabisa.waangalie viti maalum wa cCHADEMA wanavyoshindana kujipodoa na kuvaaa ma wigi ya UK we galaga baho

Huna akili, laiti ungekuwa nazo ungejua kuwa duniani hakuna gari inayoitwa Lexus Harrier; gari za aina hiyo zilizopo ni Toyota Harrier ambayo ni kwa soko la Japan na nchi zinginezo, na Lexus RX300 au RX350h ambazo ni kwa soko la Ulaya na Marekani. Huo ushenzi uliouandika peleka kijiweni kwako ambako akili zenu zinafanana.
Jambo la pili ni kwamba shilingi 50,000 zinakupatia kiasi cha kama lita 26 hivi za petroli. Hakuna gari yoyote hapa Dsm inayotumia kiasi hicho cha mafuta kutoka Posta hadi Mwenge.
Hakuna lolote unalojua kuhusu magari, usijifanye mtaalam wakati wewe ni pumbafu tu uliyeshindwa hata kuelewa mada inayojadiliwa humu.
 
Umefika wakati sasa kwa vyama vya upinzani hasa chadema kuwa na vyombo vyao vya habari hasa tv na radio.Mbona ccm wanayo Radio Uhuru.Hakuna cha tbc wala tbc taifa ni ulaghai
CHADEMA TUANZISHENI TV YA CHAMA. TUNAHITAJI PIA KUANZISHA RADIO YA CHAMA. Vp lakini??? Viongozi wa CDM hamlioni hili???Vinginevyo tusilalamikie rafu zinazochezwa na magaaaamba kwa kutumia TBC1 ambayo ni tv ya taifa.
 
kwa hiyo jamaa kadanganya. Anasema 50,000/- sasa kwani slaa anashindwa kununua mafuta hayo kwa ajili ya wife kwenda job?
Huyo mke wake anafanya kazi gani?
Mamaa ni full mapowder na mawanja!! kuna sehemu nilikaa naye karibu nikahisi kichefu chefu!
 

Rejao ni mpu_zi kweli wewe!! Yani wewe ni maskini wa mawazo na kufikiri,kwa umri wako bado unaamini kuwa Harrier ni gari ya kifahari? Au kwasababu anamiliki Mama Slaa ndio unakuja na hoja zao uharo hapa.Yani na umri wako huo,na watoto wako saba ulionao,na yule mke wako unadiriki kujitokeza kusema kuwa harrier ni gari la kifahari? Tuache siasa majitaka,tuwe tayari kujadili mambo kwa upana wake na kwa utashi.Sio kwasababu anamiliki mtu wa CDM ndio uje na mapovu yako mdomoni unaongea tuuu na kuhara hara hapa JF kama bata...shit!!
Harrier ni gari la kifahari! Period.
 
Back
Top Bottom