Kwa mara kadhaa tumekuwa tukisema hapa jamvini kuwa CCM haiwezi kupata watu kwenye mikutano yao bila kupakiza watu kwenye malori.Nape naomba ujibu hili.Usije ukasema tunakurupuka........
Huyo dogo Kajuna namfahamu ni tozi,sharobaro sana. Alikuwa mwenyekiti wa Block C Mabibo ktk serikali ya daruso iliyopita. Yupo mwingine kule main campus anaitwa MZUMA. Hawa ndo vibaraka wa magamba hapa Udsm.TAARIFA RASMI
Mwenye namba 0752316376 ni JAMES KAJUNA. na ole wake wanachuo wakose hilo gari wakati wa kurudi chuo/hoster ndo atakiona cha moto...