Tatzo la battery MacBook

manash

Member
Nov 10, 2013
6
1
Habari wadau!
Natumia macbook pro 2015 with retina, ilikuwa inakata na chako kwa saa 10 mpaka 12 lakin ghafla imeanza kupoteza uwezo wa kukaa na chaj mpaka kufikia kukaa na chaj kwa saa 1 mpaka 2!

Tatizo linaweza kuwa ni nini? Na je nifanye kutatua tatizo hili?!

Natanguliza shukrani.
 
All batteries loose their ability to keep charge after sometime(especially in hot/warmer climate). Angalia cycle count ya your battery. Apple claim your computer should retain about 80% of its capacity after 1000cycle count.

If that's not the issue, angalia activity monitor what processes are running and consuming a lot of CPU power and deal with them accordingly, either uninstall them or tafuta alternatives. Out of curiosity unatumia Firefox with any extensions? It has been traditionally the biggest battery sipping application
 
Jaribu kutumia Safari and see if it helps.

Screenshot 2019-07-21 at 20.24.17.png


Pia angalia what applications are using significant energy. There's not clear answer, but a series of little tweaks could help improve your battery life
 
Back
Top Bottom