Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

wasiliana na TUMAIN HOSPITAL-Upanga DSM (0773659153 for appointment) omba appointment ya kumwona Dr. Yongolo, hilo ni tatizo linalohitaji UROLOGIST na huyu ni consultant mzoefu, ikishindikana huko ni-PM kwa ushauri zaidi.

so sad.....
Naomba ufuate ushauri huu
 
Kawaone na Madaktari wa Kichina. Kuna Dr. Pale TPM dispensary Makumbusho imetazamana na geiti la usalama wa Taifa anaweza kuwa wa msaada.

Pole sana
 
Pole sana mkuu! Utapona fanya uende hospitali ulielekezwa hapo juu na usisahau kwenda kuombewa!
 
Hakuna hata mmoja aliyemshauri aende msikitini, kwa Ponda au Bakwata. Kulikoni? Au huko hakuna Mungu?!
Hujasoma post zote, rudi kwenye page ya kwanza utaona kuna ushauri wa kwenda kanisani au Msikitini. Usianzishe mambo ya kule juu kwenye jukwaa la stress hapa
 
Pole sana Mkuu. Kuna uwezekano labda una ugonjwa wa muda mrefu ambao umeathiri uwezo wa kufanya hivyo. Jaribu kuwaona wataalamu (madaktari) katika mambo haya ambao wanaweza kukusaidia na kuponyesha hali uliyonayo....Pole sana.
 
vile vile unaweza ona mchungaji kwa walokole isije ikawa nguvu za giza ya majini yamekata nyeti zako kwa makusudi c unajua kazi ya shetani
 
Nimeshazunguka Hospitalini na kwa wazee wa jadi na sijafanikiwa mpaka sasa

brother hebu jaribu ku do na mdada hata mmoja uone situation itakuwaje!! unajua sometimes stress ndo zinasababisha mpaka mzee anakataa kutembea!!
 
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano watagundua tatizo langu na watanicheka zaidi sasa umefika wakati nami natamani kuwa na familia japo kikwazo ni kuwa mwanamke gani atataka aolewe na mwanaume asiyesimamisha uume? MSAADA TAFDHALI
Pole Lakini ujue haupo peke yako.duniani wapo wengi mno kama Wewe calm down relax
This is the cure ;Start to eat right,balanced food and please go vegetarian .Eat food of less cholesterol ,cholesterol does block arteries and prevent your blood to flow normal .exercise is very important run 5 miles a day and eat cashew nuts,almonds and watermelon .stop drinking ,smoking and drugs .Drink a lot of water ,start with visual attraction lock your self in your bedroom and watch pornograph and see if your attracted to men or women . You will be fine and ok start dating and you don't have to have sex when your dating .sex with out marriage is a sin so your not missing anything .kuna wanawake Wengi hawakojoi so usijali kaka Angu .God loves you and he knows your needs .Good luck and enjoy the gift of life God gave it to you .God said when you face trials and obstacles you need to cheer them up cause God is the answer and he will provide .God is above all
 
Nat Nat is it real you?
Aisee nimefurahishwa ni mchango wako. Salute aisee Natalia
 
Last edited by a moderator:
Natalia hongera leo umeamka vizuri natumaini bwana amekutuma umsaidie kijana hongera ubarikiwe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Pole sana.mungu akusaidie sana hebu jaribu na olive oil,nenda kwenye jf docta wapo kina mzizi mkavu soma post zao utasaidika mkuu.
 
Hakuna hata mmoja aliyemshauri aende msikitini, kwa Ponda au Bakwata. Kulikoni? Au huko hakuna Mungu?!

Umeona eh? Wabongo wanaendekeza udini whether ni wakristu au waislamu. Mpaka wapo wengine wanafanya assumption kuwa mleta mada ni mkristu. Angalia michango kama hii. Udini mtupu! Wanasema waislamu ni wadini, je hawa ni waislamu?

Ndugu pole sana kwa tatizo hili, lkn unasema toka form 2 je kabla yahapo ulikuwa uaenda sw au ilianza muda japo kidogo kidogo?, nakuomba sn nenda kamuone mchungaji wa kanisa la kilokole akuombee, nauambia utapona kabisa inawezekana kunamkono wa adui kwa hili, jipe moyo mkuu inawezekana kwake yeye aaminiye.

Nenda kwa Lusekelo au makanisa ya wokovu hasa kwa nabii FLORA kule mbezi/tegea utapona

Pole sana mkuu, Yote ni mipango ya mungu, fanya utaratibu ujiunge na hutuduma za kitume kama upadre

.....................Mbona umekaa kimya mpaka unakaribia kuzeeka? lakini bado hujachelewa ...... na pia ......Pole sana na tatizo hilo nakupa ushauri nenda kwa wachungaji wa makanisa wanayoamini uponyaji... UKAOMBEWE............imani yako itakuponya....

Nenda kwa Lusekelo au makanisa ya wokovu hasa kwa nabii FLORA kule mbezi/tegea utapona

vile vile unaweza ona mchungaji kwa walokole isije ikawa nguvu za giza ya majini yamekata nyeti zako kwa makusudi c unajua kazi ya shetani

Wengine wanatoa mpaka dhihaka!

Ushawahi ona msikiti wanaombea wagonjwa?ukienda huko utatupiwa majini tu

Kati ya wote so far at least ni hawa wamesema

Nakushauri uende kanisani au kwa masheikh wataalam wa kusoma dua za kuondoa hawa majamaa, usikate tamaa!!

Mie sikushauri kwenda sijui kwenye makanisa ya walokole. Afterall hata sijui dini yako. Kwanza kabisa naskushauri uwaombe Mods wahamishie thread yako kwenye jukwaa la madaktari. Watu kama akina Riwa, @hippocratessocrates angalao watakupa usharuri wa nini cha kufanya kwa kitaalamu zaidi. Invisible do the needful.

Pili kama walivyoshauri wachache nenda hosipitali kwa wataalam husika. Najua umeshasema umeenda mara kwa mara, labda ungefafanua umewaona madaktari wa aina gani? Umeshawaona madaktari bingwa wanaojua in and out ya Erectile Dysfunction (ED)?

Kumwona daktari bingwa ataweza kufanya diagnosis based on your medical and sexual history, including validated questionnaires. Inawezekana umeshafanya haya yote lakini physical examination and laboratory testing zilifanywa kulingana na complaints zako? Wanaume wengi tunapokumbwa na matatizo ya aina hii huwa tunaona aibu kuwa open, but you have to be open kama kweli unataka daktari afanye physical examination and laboratory testing tailored to your complaints and risk factors.

As far as I am aware, hili tatizo linatibika kulingana na causes za ED. Treatment is based on phosphodiesterase type 5 inhibitors (PDE5-Is), including sildenafil, tadalafil, and vardenafil. Ulishawahi kupima kama una diabetics? Nasikia treatment kama ya PDE5-Is ni efficient na safe even to difficult-to-treat populations such as patients with diabetes mellitus.

But the bottom-line nakushauri kamwone kwanza daktari bingwa atakusadia. Usikate tamaa hata kama ulishaenda. Keep going. Inawezekana una vasculogenic, neurogenic, hormonal or anatomical conditions or cardiovascular disease or diabetes. Inawezekana una ugonjwa mwingine hatari zaidi bila hata wewe kujua.

Kuna mmoja kasema eti

Pole ndugu....Jaribu maombi God will hear and answer your prayer..

Mie sikushauri hivyo. Utamwomba Mungu akupe mwongozo (guidance), support, strength, help katika kutatua tatizo yako. But don't just sit there in your heartache waiting on God to fix your peoblem. Don't just sit there ukitegemea miujiza. Chakarika. Lakini katika kuchakarika huko, mwombe mungu akuongoze upate tiba.

Pole sana lakini usikate tama kabisa. Kwa hao wanatoa maoni ya kidharau just ignore then. No one know your pain and suffering unless awe ame-experience hilo tatizo. So ignore them and keeping fighting.
 
Pole sana mkuu, Yote ni mipango ya mungu, fanya utaratibu ujiunge na hutuduma za kitume kama upadre
hauwezi kuwa Padre mpaka ithibitishwe wewe ni mzima, matoashi (maanithi) hawawezi kuwa mapadre ndio maana hauwezi kukuta mlemavu wa kuzaliwa padre laba waliopata ajali.
 
Kuna urologist mzuri sana agha khan. Siku ukienda dar jaribu kumuona. Anakuwepo kila siku hadi jumamosi kati ya saa mbili na saa sita mchana.
Mungu si athumani, utapona inshaallah. Jaribu na maombezi pia.
Nimeshazunguka Hospitalini na kwa wazee wa jadi na sijafanikiwa mpaka sasa
 
pole sana.
please ni PM fasta.. na baada ya wiki mbili utakuwa pouwah. NIMESAIDIA WENGI WA DIZAIN YAKO. NI PM ILI TUJUE TWASAIDIANA VP. NA UHAKIKA HUTAKAA UJUTE TENA NA RAHA YA TENDO LA NDOA ITAKUWA UPYA KABISA, NA YOYOTE MWENYE TATIZO KAMA HILI NI PM FOR HELP.
 
Back
Top Bottom