Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

pole sana.
please ni PM fasta.. na baada ya wiki mbili utakuwa pouwah. NIMESAIDIA WENGI WA DIZAIN YAKO. NI PM ILI TUJUE TWASAIDIANA VP. NA UHAKIKA HUTAKAA UJUTE TENA NA RAHA YA TENDO LA NDOA ITAKUWA UPYA KABISA, NA YOYOTE MWENYE TATIZO KAMA HILI NI PM FOR HELP.

kila ushauri umeupitia means umekata tamaa, cha msingi tafuta wazoefu wakufanyie mazoezi itasimama tuu.
 
Tafuta watu wa scoan, nguvu za simba zitarudi mara moja uhitaji hata kula dwa imani yako tu! wapigie simu.
 
Kwanza pole sana, lakini huna mahusiano yoyote ya kimapenzi na mtu na ufanyi starehe sasa unataka uume usimame ili utundikie koti? Ushauli kamuone daktari na jaribu kuwa na mahusiano ya kimapenzi uone kwanza.
 
Wanaforums ninamchumba wangu yuko mbali na mimi yani kuvuka mikoa minne japo tunawasiliana lakini namuwaza sana nakuwa na headache nae nifanyeje?
 
Wanaforums ninamchumba wangu yuko mbali na mimi yani kuvuka mikoa minne japo tunawasiliana lakini namuwaza sana nakuwa na headache nae nifanyeje?

hapo nilipo-bold unaweza kutumia
1- panadol
2- hedex
3- cafenol
4- aspirin
5- redbull baridi pia inatibu headaches
 
Pole sana mkuu, Yote ni mipango ya mungu, fanya utaratibu ujiunge na hutuduma za kitume kama upadre

Unatakiwa uwe towashi kwa kupenda ili uwe mtumishi wa Mungu.
Bahati mbaya yeye ni towashi wa kulazimishwa, na nani; sijui.
Samahani secret, Mungu hataki vilivyo dhaifu: Hafai kuwa Padre


Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
pole bro lakini jambo la maana pamoja na kuhangaika sana, hebu usikate tamaa nenda mhimbili mtafute Dr massawe anaweza kukusaidia pole sana
 
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano watagundua tatizo langu na watanicheka zaidi sasa umefika wakati nami natamani kuwa na familia japo kikwazo ni kuwa mwanamke gani atataka aolewe na mwanaume asiyesimamisha uume? MSAADA TAFDHALI

Kukaa na wanawake unapenda?
 
Pole sana mkuu, Yote ni mipango ya mungu, fanya utaratibu ujiunge na hutuduma za kitume kama upadre
Kitu cha kwanza kabla hujaingia kwenye Huduma za kitume km Upadre ni kuhakikisha huna tatizo lolote linalohusiana Erectile dysfunction na mambo mengine, maana hawaruhusu mtu kuingia kule kwa ajili ya physical abnormality yeyote wanataka mtu aje kwa DHAMIRA halisi kutoka moyoni sio kukwepa mazingira fulani ya Uraiani.
 
Heee!?? Haya tupe ushuhuda uliponaje!??
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Andaa mafuta nije nikuonyeshe nilivyopona.
 
Back
Top Bottom