kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,616
Kwa Habari ya nguvu ya kiume. Uwe na tabia asubuhi kunywa Chai ya Tangawizi Iwe jadi yako. Tikiti maji Mara kwa Mara litaisha... Ila Kama unataka utibu kwa haraka changanya tikiti maji plus Tangawizi plus kitunguu swaumu kisha vyote Weka kwenye blender saga . hiyo juice unywe kwa asubuhi na jioini kwa wiki mbili Tatizo limeisha. MUHIMU ni kubadili utaratibu wako wa kula ndio utatatua Tatizo LA kudumu.