Frank nzoka
Member
- Aug 11, 2011
- 30
- 8
Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.
Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya
dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo
wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya
kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao
za kufanya mapenzi.
Mkuu Jaribu kutumia Asali na Mdalasini kabla hujakutana na huyo Mpenzi wako Unywe hiyo Dawa Changanya unga wa Mdalasini na Asali Safi mbichi ya nyuki kijiko kikubwa cha kulia wali. tumia hiyo Dawa ikiwa bado haijakusaidia Nione mimi nihtaweza kukusaidia vizuri au soma hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html#post3295579
ok! Thanx let me try it. But hiyo asali natumia pale tu napotaka kufanya kitendo hicho au natumia kama doz ili initibu jumla jumla? Pia nalamba au naipakaa ktk uume? Napata taabu kweli.