mkuu mm natafuta soko ww kma unataka nicheki hewani utapata taarifa zoteHujajibu swali. Kwahiyo bila kukuona wewe siwezi kupata?
mkuu mm natafuta soko ww kma unataka nicheki hewani utapata taarifa zoteHujajibu swali. Kwahiyo bila kukuona wewe siwezi kupata?
Muhimu ni uvimeze vyote kwa mpigo,ili nguvu iwe kubwa.Sasa kama unaweza weka mdomoni vyote na kutafuna kwa pamoja,sawa tu.Ila ukitwanga ndio rahisi zaidi na harufu huwa kidogo mdomoni.Ukitafuna harufu kuisha ni ngumu sana labda unywe juisi ya limao.mkuu na kama ukitafuna bila kuvisaga inakuwaje hapo??? Maana sie wengine ni mabingwa wa kutafuna vitunguu swaumu.
Kweli mkuu.Kuna ndugu yangu alikuwa analalamika hanenepi,kumbe amejawa na minyoo chungu nzima!Alipokunywa hiyo dawa,baada ya wiki 1 kaanza toka shavu!Ngoja leo niifanyie kazi kachumbali hizi tunazo kula ni balaa
Achana na stori za babu!Hii ni sayansi rahisi tu,sijasema unapona magonjwa yote.Nimesema fungus na minyoo sugu!Kama hujasumbuliwa na hivyo vitu,basi hii isikusumbue mkuu.Subiri watakaokunywa uone wanasemaje ndio unipinge.Hii dawa ni sawa na kikombe cha babu wa loliondo. Utumie kitunguu swaumu kimoja upone minyoo yote na fungus sugu! Acha utani Bwashee !!!
Haha!Usiwe na wasiwasi na jina langu,BAOSITA ni zile alizochapwa Man Utd na Man City kipindi kile.Mimi ni mshabiki mkubwa wa soka.Ukifikiria vingine ni mawazo yako tu.Nitajaribu Mpwa, tatizo ni hilo jina lako....mmmhhh haya bhana be blessed
Haha!Usiwe na wasiwasi na jina langu,BAOSITA ni zile alizochapwa Man Utd na Man City kipindi kile.Mimi ni mshabiki mkubwa wa soka.Ukifikiria vingine ni mawazo yako tu.
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.

asante sana mkuu kwa ushauri wako ...hata mie nilipoona hilo jina (BAOSITA) nikastuka kidogo nilifikiri ni mjuzi wa mambo yetu yaleee pia ...ila thanks in advance....Haha!Usiwe na wasiwasi na jina langu,BAOSITA ni zile alizochapwa Man Utd na Man City kipindi kile.Mimi ni mshabiki mkubwa wa soka.Ukifikiria vingine ni mawazo yako tu.