Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!

Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.
 
mkuu na kama ukitafuna bila kuvisaga inakuwaje hapo??? Maana sie wengine ni mabingwa wa kutafuna vitunguu swaumu.
 
Muhimu ni uvimeze vyote kwa mpigo,ili nguvu iwe kubwa.Sasa kama unaweza weka mdomoni vyote na kutafuna kwa pamoja,sawa tu.Ila ukitwanga ndio rahisi zaidi na harufu huwa kidogo mdomoni.Ukitafuna harufu kuisha ni ngumu sana labda unywe juisi ya limao.
 
Wakuu msianze kusema mnataka kutafuna,msije mkaishie punje 5 tu,bora uvisage kwa kutwanga ili upate dozi kamili ya kitunguu swaumu kimoja kizima!Yaani hata minyoo ama fungus wawe sugu vipi,watakufa muda hiyo dawa ifikapo tumboni!

Kwa minyoo,hakikisha unainywa hiyo dawa ukiwa na njaa ili kuikomesha.
 
Hii dawa ni sawa na kikombe cha babu wa loliondo. Utumie kitunguu swaumu kimoja upone minyoo yote na fungus sugu! Acha utani Bwashee !!!
 
Hata wale wenye kutoa harufu mbaya za kikwapa na sehemu nyingine mwilini,hii dawa ni kiboko yake.Sababu bacteria na fungus ndio wasababishao harufu mbaya mwilini.Pia minyoo sugu husababisha kikohozi kisichopona na mwili kulegea bila sababu,sasa hii dawa hurejesha nguvu na stamina mwilini.Inasemekana wajenzi wa mapiramidi yale ya Misri walikuwa wanakula vitunguu swaumu ili kupata nguvu na ukakamavu wa kufanya kazi nzito!Usile punje 2 ukasema umekula dawa,kula kizima!!
 
Hii dawa ni sawa na kikombe cha babu wa loliondo. Utumie kitunguu swaumu kimoja upone minyoo yote na fungus sugu! Acha utani Bwashee !!!
Achana na stori za babu!Hii ni sayansi rahisi tu,sijasema unapona magonjwa yote.Nimesema fungus na minyoo sugu!Kama hujasumbuliwa na hivyo vitu,basi hii isikusumbue mkuu.Subiri watakaokunywa uone wanasemaje ndio unipinge.
 
Hahhaaaaa Mpwa ndio umeacha nicheke zaidi sasa, kumbe una utani na watu humu ndani eeeh, acha hizo bhana, back to topic, nitajaribu hio kitu pia na incase kukiwa na mafanikio nitarudi na mlisho-nyuma
Haha!Usiwe na wasiwasi na jina langu,BAOSITA ni zile alizochapwa Man Utd na Man City kipindi kile.Mimi ni mshabiki mkubwa wa soka.Ukifikiria vingine ni mawazo yako tu.
 
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.

Asante mkuu ngoja nikajaribu , manake nina fungus sugu kweli. Ninatumaini nitapona
 
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.

Kwahiyo mkuu kwa hata fungus iliyo sehemu nyingine kama mgongoni!
 
Haha!Usiwe na wasiwasi na jina langu,BAOSITA ni zile alizochapwa Man Utd na Man City kipindi kile.Mimi ni mshabiki mkubwa wa soka.Ukifikiria vingine ni mawazo yako tu.
asante sana mkuu kwa ushauri wako ...hata mie nilipoona hilo jina (BAOSITA) nikastuka kidogo nilifikiri ni mjuzi wa mambo yetu yaleee pia ...ila thanks in advance....
 
inamaana baosita ukisaga kitunguu kimoja ni sawa na kijiko kimoja cha chai au kitazidi maana hayo mahesabu yanaendaje maana sijaelewa hapo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom