kakamukubwa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 203
- 27
Wakuu wife amesumbuliwa na fangasi mda mrefu na anmimba kwa hiki kipindi, naomba mnisaidie atumie dawa au tube gani ili imusaidie? Hata kama ni ya kienyeji mm ntajitahidi nimtafutie, anasumbuka sana mazee.
Kama za mapajani apake ndimu,ila isifike kunako,siku 2 zinakwisha.