Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

na vaginal douching pia isifanywe!it disturbs the normal flora in the vaginal canal
 
Ni vizuri wanawake wabadilike kwa kuacha KUANIKA NGUO ZAO ZA NDANI sehemu ambazo unyevu utadumu kwa zaidi ya saa 1.
B. Hakikisha UNA PIGAPASI VYUPI VYAKO kabla ya KUVAA.
C. USICHANGIE CHUPI NA MWANAUME hata kama MUMEO.
D. BADILISHA CHUPI mara 3 - 4 kwa kutwa au MARA UNAPOHISI UNYEVUNYEVU

Hapo d, ni suala gumu sana. Sifikiri Kama it can work in bongo.
 
Kweli, mficha ugonjwa kifo humuumbua!!! Tatizo la fungus lilianza nikiwa nasoma Tabora boys, 2004 - 2006, nafikiri kutokana na maji ya mkoa ule. Kulikuwa na ugonjwa tulikuwa tunauita PE (Pumbu Erosion). Tangu kipindi hicho hadi hivi niandikavyo, nimejaribu kila njia, karibu dawa zote za kupata nimemaliza, nikaingia kwenye vidongo, hata sikumbuki ni vipi ambavyo sijtumia. Ilifika wakati hadi nikaanza kurudia dawa!!! Fungus zinaniua mwenzenu nipeni ushauri nini cha kufanya!! Hali mbaya mwenzenu muda wote natamani kuingiza mkono niguse guse!!!!
 
Nenda kaonane na dr wa ngozi. Ufuatilie masharti na dawa alizokupa to the book (namaanisha kiukwelii).
Zitaisha tu. Nyingine ya ziada ni hygiene:
1 usirudie nguo za ndani (zingatia ushauri wa diva wa clouds)
2 uvae nguo za ndani zenye cotton material(zile zilizoandikwa mapanga shaa hazifai).
3 nguo za ndani zifuliwe na kuanikwa juani (kama zina matobo utakoma)
4 hakikisha unaoga na kujikosha vizuri. Jipanguse na taulo safi na kavu kila mara kwa mtindo wa kutomasa (dab)
 
osha mara kwa mara, pawe na ukavu muda wote....usivae nguo za nailon.
 
Hii kitu niliipost hapa one week ago...but sikumbuki kama nilipata response kwa sababu nilipigwa BAN the same day!!!!

Nimejaribu kutafuta ile thread sijaiona...nisaidieni mwenzenu hali mbaya...nimejaribu kutumia kila aina ya dawa, lakini bado hali ni tete...kila wakati natamani niweke mkono huko maana ndiyo faraja pekee niliyonayo....MSAADA PLEASE!!!!
 
Pole sana, hiyo inaitwa vaginal candidiasis. Inaweza kutibiwa kwa dawa za kuweka Kama clotrimazole, gynozol vaginal cream ama gelatin capsules. Kuwa msafi, cotton under pants. Kama kuna uchafu wenye harufu wewe na partner wote mwatakiwa kumwona daktari na kupata matibabu! Pia uchunguzi Wa saratani ya shingo ya kizazi ni muhimu kwa kila mwanamke mwenye mahusiano ya tendo la ndoa angalau mara Moja kila mwaka
 
pole mkuu kunawtaalam watakuji maana hii jukwaa tunawtaalam kama akina Mzizimkavu, Dr. liwa etc ninaimani watakusaidia
 
Mkuu, nunua ndimu zile ndogo, ukishaoga kata nusu yake unakamua maji yake kidogo na unapaka huko kama mafuta, baada ya siku 3 utasahau yote hayo mi mwenyewe zilinisumbuwa lakini nilipofanya hivyo ilipotea yote. kumbuka kuoga na kubadilisha nguo zako za ndani japo mara 2 kwa siku. mhimu usisahau kunywa maji. Nyumbani | maajabuyamaji.net
 
Pole na bibie pia au ni wewe tuu peke yako.ebu tumia hiyo dawa ulopewa hapo juu ikifaa utujulishe.
 
Pole sana, hiyo inaitwa vaginal candidiasis. Inaweza kutibiwa kwa dawa za kuweka Kama clotrimazole, gynozol vaginal cream ama gelatin capsules. Kuwa msafi, cotton under pants. Kama kuna uchafu wenye harufu wewe na partner wote mwatakiwa kumwona daktari na kupata matibabu! Pia uchunguzi Wa saratani ya shingo ya kizazi ni muhimu kwa kila mwanamke mwenye mahusiano ya tendo la ndoa angalau mara Moja kila mwaka

Pole na bibie pia au ni wewe tuu peke yako.ebu tumia hiyo dawa ulopewa hapo juu ikifaa utujulishe.

Jaman nadhan swali kwa mkuu ni kwamba yeye ni mwanaume au mwanamke?!
Manake majibu ya gizani haya unaweza kuambulia BAN!!
hahaha hahahaha
 
Mkuu hiyo kitu ni noma sana,inaweza ikawa fungus au ukawa una.alergy ya yeast-kama unawashwa sehemu za haja kubwa
nakushauri utumie dawa inaitwa Locoid 0,1 na utumie ifuatavyo: paka asubuhi na jioni kwa wiki moja. Alafu paka asubuhi tu kwa wiki ingine, alafu paka mara 3 kwa wiki inafuatia alafu paka kila siku kwa wiki ingine moja.
Pia nakushauri uache bia na vyakula vyenye yeast, zingatia usafi sana na kula mboga za majani.
Pole sana mkuu
 
Pole sana, hiyo inaitwa vaginal candidiasis. Inaweza kutibiwa kwa dawa za kuweka Kama clotrimazole, gynozol vaginal cream ama gelatin capsules. Kuwa msafi, cotton under pants. Kama kuna uchafu wenye harufu wewe na partner wote mwatakiwa kumwona daktari na kupata matibabu! Pia uchunguzi Wa saratani ya shingo ya kizazi ni muhimu kwa kila mwanamke mwenye mahusiano ya tendo la ndoa angalau mara Moja kila mwaka

Pole na bibie pia au ni wewe tuu peke yako.ebu tumia hiyo dawa ulopewa hapo juu ikifaa utujulishe.

Nimemuliza kama anaeumwa ni yeye peke yake au na mkewe/mchumba wake pia najua kama yeye ni mume..

Chek alichoandika measkron ndo utagundua kuwa yeye anadhan mkuu hapo ni mwanamke!
Binafsi sijajua jinsia yake aisee hasa kwa reference ya ugonjwa wake inachanganya kias kujua ni mwanaume!
 
Ok kijana nenda phamacy kanunue dawa inaitwa CLOTRIMAZOLE USP Clob hii ni Antifungal Skin Cleam kaka inakusaidia na kuondoa kbs coz hii hata zile fungusi za kwenye vidole vya miguu zinnaondoka kbs!rudisha report
 
mkuu utamaliza hizo dawa na hela pia utaishiwa na bado fangasi hawataisha, tafadhari jaribu ndimu kama nilivyokushauri hapo juu, mwenyewe utaniambia ni siku 2 tu kwishney, usipoteze hela na muda kwenda pharmacy
 
Pole sana, hiyo inaitwa vaginal candidiasis. Inaweza kutibiwa kwa dawa za kuweka Kama clotrimazole, gynozol vaginal cream ama gelatin capsules. Kuwa msafi, cotton under pants. Kama kuna uchafu wenye harufu wewe na partner wote mwatakiwa kumwona daktari na kupata matibabu! Pia uchunguzi Wa saratani ya shingo ya kizazi ni muhimu kwa kila mwanamke mwenye mahusiano ya tendo la ndoa angalau mara Moja kila mwaka

Bro yaani hata AVETAR yangu umeshindwa kuing'amua??? Me ni mwanaume bana!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom