ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Habarini,
Mimi natumia simu aina ya HUAWEI Y 330 line mbili, nikajiunga kutumia line zote mbili whatsapp katika cmu moja na nikawa natumia vizuri tuu bila matatizo sasa tatizo linalo nikumba saa hizi ni kwamba nikiwa "home" pale kwenye cm.... sms za whatsapp zikiingia simu haioneshi wala notification hamna wala ile alama ya whatsapp inayo kuwa inaonekana pale juu.
Wakati sipo online haionekani sahizi...sms zinaingia kimya kimya mpaka niingie whatsapp ndo naona kuwa kuna text nimetumiwa hii ina niadhiri nakuwa nachelewa sana kujibu text za watu mpaka niwe online ndo nione text nilizo tumiwa sasa sijajua tatizo ni nn kwamba kuna sehemu nilibonyeza bila kujua au vipi tafadhari naombeni msaada....