zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Kwenye kauli zake na kampeni zake mashuhuri duniani, mweshimu miwa barack obama alikuwa akitumia slogan ya yes we can. Nashangaa kama jamaa anafikiri bado watanzania hawana TV, nitanukuu kauli yake ya jana mara baada ya nassari kuongea alisema "YES WE CAN" mbona sioni kauli hata moja ya wanachadema. hivi siyo kwamba Mbowe bado anamwigiza OBAMA?embu wadau tuwaelimishe hawa wasanii
Eti mshauri wake anaitwa Leticia Nyerere na anakaa Maryland karibu ya Washington na huo ndio ushauri aliomletea.