Tathmini: M4C Fundraising Dar wapi hapakuwa sawa na nini Kifanyike

Kama maneno ni ya mtu mwingine unapaswa kusema una nukuu kauli ya mtu. Kwa wanazuoni unaponukuu bila kuweka wazi ni udhaifu.
 
To be a great thinker ni pamoja na kuyaheshimu na kuyakubal mawazo ya wengine.Sioni kama kuna tatizo!
 
Kwenye kauli zake na kampeni zake mashuhuri duniani, mweshimu miwa barack obama alikuwa akitumia slogan ya yes we can. Nashangaa kama jamaa anafikiri bado watanzania hawana TV, nitanukuu kauli yake ya jana mara baada ya nassari kuongea alisema "YES WE CAN" mbona sioni kauli hata moja ya wanachadema. hivi siyo kwamba Mbowe bado anamwigiza OBAMA?embu wadau tuwaelimishe hawa wasanii
we ndio unatakiwa KUELIMISHWA, PIMBI WA MAWAZO WW
 
Mbona hata OBAMA KAIGA....?Sí Se Puede.? A Phrase with a Rich History

Hiyo slogan ipo miaka mingi..."
Si se puede" YES WE CAN...Cesar Chavez aliitumia. OBAMA kabadirisha lugha tu.

DUNIANA HAKUNA JIPYA. KILA KITU KINA BLUE PRINT YAKE.
Kwenye kauli zake na kampeni zake mashuhuri duniani, mweshimu miwa barack obama alikuwa akitumia slogan ya yes we can. Nashangaa kama jamaa anafikiri bado watanzania hawana TV, nitanukuu kauli yake ya jana mara baada ya nassari kuongea alisema "YES WE CAN" mbona sioni kauli hata moja ya wanachadema. hivi siyo kwamba Mbowe bado anamwigiza OBAMA?embu wadau tuwaelimishe hawa wasanii
 
unaufaham wimbo wa NAS nadhani hata obama aliiga kwa na NAS basi maana yeye aliimba I know I can, be where i wana be, if i work hard as i need, i will be where i wana be.
 
Kwenye kauli zake na kampeni zake mashuhuri duniani, mweshimu miwa barack obama alikuwa akitumia slogan ya yes we can. Nashangaa kama jamaa anafikiri bado watanzania hawana TV, nitanukuu kauli yake ya jana mara baada ya nassari kuongea alisema "YES WE CAN" mbona sioni kauli hata moja ya wanachadema. hivi siyo kwamba Mbowe bado anamwigiza OBAMA?embu wadau tuwaelimishe hawa wasanii

Ni kweli kila mwananchi husika ni mwanasiasa, kwa sababu maisha ya kila siku ;kwazo, sera za chama husika huwa zinatekezwa, na hivyo kumgusa kila mwananchi, kama vile sera za kodi, sera za bajeti, na sera mbalimbali za maendeleo.Lakini ikumbukwe ,siasa ni taaluma ambayo tunapapukia bila kuwa na ujazo husika kitaaluma na hivyo kuathili uchambuzi maridhawa.nachelea kusema, kwa mdau alileta mada hii hoja yake ni dhaifu na haina mashiko ya kisiasa hivyo kutokuwa na budi kuiropoka, sababu ni kujidhalilisha kuongea pumba na kutoa uchambuzi wa nadharia zisizo za kisiasa.Ni kweli mbwe aliyosema yanawezekana, sababu CDM ilianza na wabunge 4 , leo inawabunge 49 bungeni.nahiyo ni kwa muda mfupi ukilinganisha na ccm ambayo ipo tangi 1977.
Pia msukumo wa kisiasa katika kufumbua umma, na kutoa elimu ya uraia imekuwa kubwa na hivyo CDM kukubalika kirahisi katika jamii, hasa ya wapenda maendeleo na inayojali wanyonge walio wengi .
mtaji kubwa wa ccm ni umbumbumbu wa watanzania ambao ccm kwa kushirikiana na serikali yake hawakutaka kutoa elimu ya uraia na demokrasia na hasa vijijini.Kwahiyo, wananchi wengi wanahamu ya kusikia na kuipata elimu ambayo ni muhimu mno kwa usitawi wa nchi yetu.Kwasasa CDM inafanya shughuli hiyo kwa kuihusisha umma kuchangia ili kila mwananchi afikiwe na elimu hiyo.Pia kwa siasa za zamani ccm ilikuwa kughiribu wananchi bila kuwaambia ukweli wa msitakabari wa nchi yao.haya sasa yanafanyika kwa kufanya mikutano migi mpka vijijini, kwa kuelezea ukweli ya msitakabari wa nchi yetu hasa ubovu wa sera za ccm, watendaji wabovu na rushwa na ufisadi.Kwa mtu aliyefundishwa kuropoka ujinga hatayaona haya.wapinzani hasa CDM wamekuwa chama mtambuka kuelimisha umma ili ijitambue na kuleta mabadiliko kuikomboa nchi yao kutokana na makucha mbaya, ambayo nchi inazidi kudidimia na wananchi kuwa na maisha mabovu.
wananchi wakieleimishwa wanaweza kuleta mabadiliko ambayo ndo vuguvugu la kuleta mageuzi.hayo yanawezekana,Mbowe kusema anaouthibitisho ambao; angalia nyamagana na ilemela vigogo wameanguka bila kutegemea.hivyo M4C ni chachu ya mageuzi chanya ambayo jamii ikishirikishwa yanawezekana.
 
M4C chama alichokianzia mwanadada mmoja na jamaa fulani nchini wingereza akiwa na objective kubwa ya kusambaza matawi yake ndani na nje ya nchi na kukusanya fedha nyingi kama mnabisha tembeleeni Movement for Change | Home waasisi wake wanaitwa
Stella Creasy/Ed Miliband .

na ninasikia mara baada ya godbless lema kumaliza kikao chake cha kufungua tawi lao londoni alikwenda kuripoti maendeleo ya CDM nyumbani kwa huyu mwanamama. sasa kwa mwendo huu Afrika umasikini utaisha lini?
kama kuna mtu anabisha abatilishe kwa hoja.

Hebu rudi FB huko ukatafute wachumba, tuondolee hoja yako ya kipuuzi.
Haya ndio madhara ya kuandika thread huku umepakatwa.
 
Mbona hata OBAMA KAIGA....?Sí Se Puede.? A Phrase with a Rich History

Hiyo slogan ipo miaka mingi..."
Si se puede" YES WE CAN...Cesar Chavez aliitumia. OBAMA kabadirisha lugha tu.

DUNIANA HAKUNA JIPYA. KILA KITU KINA BLUE PRINT YAKE.
Kwenye kauli zake na kampeni zake mashuhuri duniani, mweshimu miwa barack obama alikuwa akitumia slogan ya yes we can. Nashangaa kama jamaa anafikiri bado watanzania hawana TV, nitanukuu kauli yake ya jana mara baada ya nassari kuongea alisema "YES WE CAN" mbona sioni kauli hata moja ya wanachadema. hivi siyo kwamba Mbowe bado anamwigiza OBAMA?embu wadau tuwaelimishe hawa wasanii
 
Joyce Mukya (Mb) alikuwa anaboa, kama alijua anakuja kwenye hiyo shughuli, alipaswa awe ameshaongea na hao aliokua anawaita "watu wangu" wa arusha, na pale alitakiwa aje kuwakilisha tu. It was like amekurupuka hivi. Otherwise, mengine ni ya kawaida tu

Huelewi maana ya fund raising ndo maana umeshoboka hapa!!! Na ungeanza kumsema kwanza mhe mbowe, mhe nasary na wengine kwanza kama kweli unamaanisha
 
Huelewi maana ya fund raising ndo maana umeshoboka hapa!!! Na ungeanza kumsema kwanza mhe mbowe, mhe nasary na wengine kwanza kama kweli unamaanisha

Imekugusaee, next time jipange vzr. (kama sio wewe, mfikishie ujumbe basi}
 
Back
Top Bottom