nyie vipi leo...mwenzeni da sophy ana matatizo....hamtoi tamko lolote....mnategemea nini
Sio lazima kila ushauri utolewe hapa...:tape::tape::tape::tape::tape:
nyie vipi leo...mwenzeni da sophy ana matatizo....hamtoi tamko lolote....mnategemea nini
eti Dena,
Ni kweli ninayosikia kwamba akina mama wengi siku hizi wanapenda kujifungua kwa operation ili tu wakwepe mambo ya uchungu na kupush? Au madaktari ndo wamekuwa 'mafisadi' wanataka hela tu?
mmh!....Umesahau jambo moja hapo hommie: Wanataka vikojoloe vyao viendelee kubakia tight...........
Umesahau jambo moja hapo hommie: Wanataka vikojoloe vyao viendelee kubakia tight...........
eti Dena,
Ni kweli ninayosikia kwamba akina mama wengi siku hizi wanapenda kujifungua kwa operation ili tu wakwepe mambo ya uchungu na kupush? Au madaktari ndo wamekuwa 'mafisadi' wanataka hela tu?
Mbona wengine hawajazaa na haviko "tight"? Inakuwaje kuwaje hapo?
mmh!....
Hommie siku hizi ni mwendo wa kisu na hakuna kunyonyesha....it ends up tighter and firmer....
Wagonjwa mko hapa leo? Hamjaenda hospitali?
Vilianza kutumika kabla havijaiva. Elasticity limit ilipitilizwa kwa shari............
Hivi hapa sio hospitali??? I thought I saw a therapist around...:thinking::thinking::thinking:
So it's partly a myth to assume that natural child birth engenders vaginal loose-ness, right?
Can swear for that.
Okie dokie smokie
Usichezee kazi, chezea mshahara.:smile-big::smile-big::smile-big:
Vipi, umeipenda hiyo?
Nimependa mshahara. Hivi kuna watu wanachezea kazi? Mi nachezea mashori ni viungo vyao, siyo kazi.
Wapo wachezeao kazi aisee. Mimi nachezea mshahara....nikiupata tu naenda kumtafuta Diana......
Calabash? Teamo anajua?
Teamo ananiita shemeji......wee mwulize tu kuhusu Muzee wa byuroooo uone atakavyocheka