Tarehe zimepita lakini bado jamani mwe!

eti Dena,

Ni kweli ninayosikia kwamba akina mama wengi siku hizi wanapenda kujifungua kwa operation ili tu wakwepe mambo ya uchungu na kupush? Au madaktari ndo wamekuwa 'mafisadi' wanataka hela tu?

Umesahau jambo moja hapo hommie: Wanataka vikojoloe vyao viendelee kubakia tight...........
 
eti Dena,

Ni kweli ninayosikia kwamba akina mama wengi siku hizi wanapenda kujifungua kwa operation ili tu wakwepe mambo ya uchungu na kupush? Au madaktari ndo wamekuwa 'mafisadi' wanataka hela tu?

Hommie siku hizi ni mwendo wa kisu na hakuna kunyonyesha....it ends up tighter and firmer....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom