Wasalimie wajaluoNipo Naivasha huku kisumu Nakuru nikija Huko nitaandika kama mnavyotaka nyinyi
Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari.
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya Kiinjili iliyofanyika kijijini hapo.
Habari zaidi kuhusiana na tukio hilo zitafuata.
Poleni wanafamilia, washarika, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huo, pumzika kwa amani Baba Mchg. Dr. Gabriel Nduye
Miongoni mwa viongozi waliopata kuwa asset kwa weledi, uelewa, utulivu na unyenyekevu kwa Dayosisi hiyo ni huyu Ndugu alifaa sana kuwa mrithi wa Fihavango mbele ya safariAlikuwa mshauri bora, kiongozi imara mwenye maono makubwa ya maendeleo endelevu ya kanisa, mkoa wa Njombe na taifa. Pumzika Msaidizi wa Askofu KKKT - Dayosisi ya Kusini Dkt. Gabriel Nduye.
View attachment 2794366View attachment 2794362View attachment 2794363
View attachment 2794367
Kama kuna ukweli nimeshuhudia zaidi ya mara 3 aseeHaya ma Prado ni magari ya hovyo sana.
Huwa yanachomoka matairi ya mbele.
Huenda hata hili lilichomoka tairi na kupoteza uelekeo.
Dini nazo ndani ni vita tupu ya madarakaMiongoni mwa viongozi waliopata kuwa asset kwa weledi, uelewa, utulivu na unyenyekevu kwa Dayosisi hiyo ni huyu Ndugu alifaa sana kuwa mrithi wa Fihavango mbele ya safari
Sad!!!Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari.
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya Kiinjili iliyofanyika kijijini hapo.
Habari zaidi kuhusiana na tukio hilo zitafuata.
Poleni wanafamilia, washarika, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huo, pumzika kwa amani Baba Mchg. Dr. Gabriel Nduye
Upo sahihi mara ya kwanza niliona moja ilimuua mwanamuziki mmoja wa kizazi kipya mitaa ya Mbwewe mwaka 2005 kama sijakosea alikuwa anakwenda Arusha, nyingine ilimuua mtangazaji mmoja wa Channel 10 Msumbiji kama sijakosea nilisikia chanzo ni hicho cha kuchomoka kifaa fulani mbele huko chiniKama kuna ukweli nimeshuhudia zaidi ya mara 3 asee
OkUpo sahihi mara ya kwanza niliona moja ilimuua mwanamuziki mmoja mitaa ya Mbwewe mwaka 2006, nyingine ilimuua mtangazaji mmoja wa Channel 10 Msumbiji kama sijakosea nilisikia chanzo ni hicho cha kuchomoka kifaa fulani mbele huko chini
Hilo Lorry liko kwenye site yake Pajero ndio imelifuata naona Marehemu alipoteza control.Nchi hii uwezekano wa kufa kwa ajali umekuwa mkubwa sana. Zimekuwa siyo ajali tena.
Ile chuma kapewa na network ya waumini fulan hivi wenye hela (akina mwigulu na wenzake) hakupewa na kanisaKuna majimbo ya makanisa yana umaskini sana dayosisi inampa mtumishi wake gari namba C ya mwanzoni huko kweli!!!! na juzi juzi hapa huyu Mkuu wa KKKT kapewa chuma mpyaaa.
Inawezekana, kuna msemo wetu madereva usemao "Gari limeungwa ungwa kwa bolti na Nati elfu moja kwahiyo tembea polepole"Huenda ilisababishwa na mechanical fault