TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Jamaa alikua anajishugulisha na nini kwani??sijui kwanini nmemuwaza diamond na malezi ya watoto.. pole kwa wote walioguswa na msiba na mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Mungu anasema haya mauti tunayoyakimbia hakika tutakutana nayo kisha tutarejeshwa kwayule mjuz namwenyeelim yashahada ili akakupeni habar kwayale mliyokua mkiyatenda.
 
Daaah his lil boys jamani!!. Kweli hakuna aijuaye siku wala saa...Pumzika kwa amani Ivan. Pole kwa Zari na wafiwa wote.
 
Yako mengi sana yakujifunza kila unapoona jambo likitokea.tumekua tukiijenga sana dunia yetu kwamajumba yakifahar nastarehe za kila aina ila hatujawahi kuijenga nyumba ambayo baada ya hii dunia kunamakazi huko tena yamilele.hapandipo mwanadamu anapohitajisana akili ya moyo zaid kuliko akili yakichwa.
 
Pumzika kwa amani Ivan .. Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu
 
Ha ha ha ha ha ha ha watu wabaya eti hela za masharti kama zile za wakinga
 
Cheki tarehe ya kufa kwake, je inafanana na 3, 9,11,21,23,33. Kama ndivyo, inawezekana. Kanumba alifariki tar 7.4=11. Siku yao.
Acheni hizi mambo maana kufa ni kufa tu na hakuna ambaye hatokufa so kufa hakuhusiani na jambo lolote maana hata uwe mwema kivipi utakufa tu uwe mbaya mtenda dhambi katili kivipi bado utakufa kwakuwa death is a necessary end.
 
Mondi mdogo wangu utaweza kulea watoto hao.. Au ndio mara visenti hunaaaa unarudi tandaleeee meneja umebaki jinaaaa tataaa taaleeees
 
Back
Top Bottom