TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Sisi wabongo ni shida sana, kama ndo upeo wetu huu tunahitaji msaada wa kifikra kwa kweli ili tuendelee. Ivan alipata shambulizi la moyo ni ugonjwa wa kawaida kabisa na unajulikana sana, sasa leo mnaanza kuingiza imani zetu za kizamani. Muda si mrefu mtaanza oooh hela za masharti, mara free manson n.k. Kwa jadi zetu wakati wa msiba si wakati wa mzaha. RIP IVAN
Wabongo ukiwa mashuhuri na una vijisent ukifa basi wanaanza story zao wakati kufa hakuhusiani na chochote maana kila mtu atakufa tu haijalishi mwema au mbaya.
Yani wao mafanikio na kufa kwa watu wana relate na yale mambo na wanayaamini kweli kweli.
 
Rest in perfect peace Ivan

Umenitoa chozi na sijuani nawe. Video clip ni post ya mwisho akiwa Uganda alirusha tarehe 11 May 2017. Uliwapenda sana sana watoto wenu wa kiume 3 na kuwajali na kuwaheshimu na Mama yao Zari..mfano mzuri kwa wababa.

Zari aliachana na Ivan na baadae kuja kuwa na Diamond Platnumz ambaye wana watoto wawili pamoja.

Moja ya biashara kubwa ni umiliki wa vyuo mbali mbali nchini South Africa, alizianzisha na Zari.

Poleni sana kwa msiba.

View attachment 514047

Picha wakati wa uhai wake bonyeza mshale kwenda kuziona kwenye post ingine humu...
Huo mdomo mbona kama mwekundu sana alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani
 
Kwahiyo mondi alifurahi mtoto kufanana na huyo Marehemu?

Mkuu tushafundishwa ukauzu na mkuu wetu ukidanja wachaChe wasikitike wengine waendelee na job
Yaan KKKB (kula,kunya kulala kwa baba) mnajulikana kwa posti zenu za undezi any way ukikua utaacha
 
Back
Top Bottom