TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Money can't buy Life. Wakati Bob anakata roho kule Florida USA alimwambia mwanaye Ziggy

Eti unasema ??

Basi ikitokea unaumwa nenda ukatibiwe kule muhi2 na mimi nikatibiwe Agakhan alaf tuone nani ata survive.

Hela ndio kila kitu kijana ingawa kufa kupo na hakuepukiki.
 
Thats z Y I've to visit JF ever morning B4 i wakeup, it alwyz have somthn to teach Me.
R.I.P
 
Rest in perfect peace Ivan

Umenitoa chozi na sijuani nawe. Video clip ni post ya mwisho akiwa Uganda alirusha tarehe 11 May 2017. Uliwapenda sana sana watoto wenu wa kiume 3 na kuwajali na kuwaheshimu na Mama yao Zari..mfano mzuri kwa wababa.

Zari aliachana na Ivan na baadae kuja kuwa na Diamond Platnumz ambaye wana watoto wawili pamoja.

Moja ya biashara kubwa ni umiliki wa vyuo mbali mbali nchini South Africa, alizianzisha na Zari. Na biashara zingine, ni Tycoon Ivan.

Poleni sana kwa msiba.

View attachment 514047

kutoka online.

Picha wakati wa uhai wake bonyeza mshale kwenda kuziona kwenye post ingine humu...
RIP Ivan,
Poleni wote walioguswa na msiba.
Hivi huyu alikuwa wa wapi,,?
 
Hivi alikuwa anafanya dili gani? Yaani chanzo cha utajili wake ni kitu gani? Isije kuwa ni kafara, maana kuna kipindi fulani alikuwa anagawa hela kama njugu labda alijua shetani yu karibu
 
Back
Top Bottom