TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

ivandon-1495680065734.jpg


ivandon-1495680455032.jpg


ivandon-1495680529800.jpg


ivandon-1495680343076.jpg


ivan-3.jpg


ivandon-1495680408138.jpg


ivandon-1495680318755.jpg


ivandon-1495680236853.jpg


ivandon-1495680065734.jpg


ivandon-1495680182771.jpg


ivandon-1495679993903.jpg



R.I.P Don
 
Huyu jamaa mbona alikuwa mzima siku za karibuni.... Hela zake zinanitia wasiwasi isije ikawa alipitia mfumo wa SK kujipatia hela ya fasta kwa masharti....

R.I.P Ivan
Hata mimi nina wasiwasi na hii kitu na uumwaji wake wa ghafla....
 
Hata mimi nina wasiwasi na hii kitu na uumwaji wake wa ghafla....
Sisi wabongo ni shida sana, kama ndo upeo wetu huu tunahitaji msaada wa kifikra kwa kweli ili tuendelee. Ivan alipata shambulizi la moyo ni ugonjwa wa kawaida kabisa na unajulikana sana, sasa leo mnaanza kuingiza imani zetu za kizamani. Muda si mrefu mtaanza oooh hela za masharti, mara free manson n.k. Kwa jadi zetu wakati wa msiba si wakati wa mzaha. RIP IVAN
 
Huyu jamaa mbona alikuwa mzima siku za karibuni.... Hela zake zinanitia wasiwasi isije ikawa alipitia mfumo wa SK kujipatia hela ya fasta kwa masharti....

R.I.P Ivan

Acha kuzusha, mbona ex wake yupo na walianzisha biashara pamoja!?

Cha muhimu ni watu mpime afya zenu.

Unayoongelea wewe hayo hayakuachi uteseke... yanakumaliza sekunde yamefata roho yako, hukai kuugua muda mrefu havina subira vitu hivyo ni pap kwisha... jipaishe uyajue.
 
Weka namba ya simu ya wahusika tuchangie directly, mana michango ikipitia kwa akina Gambo kwa walengwa inafika robo tu
Mwaname mzuri akaishia kwa Malaya wa kimataifa, very sad, good people wanapotezwa na uchawi na kukamatwa wanaishia kufa mapema, sasa ngoja tusikie kimbembe cha mirathi manake huyo mondi aliyejidai hamtaki tena anamtaka Wema mtanona atakavyokimbiia kurudi faster
 
Back
Top Bottom