Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,755
Kuna haja ya kumuingiza Ngassa ashirikiane na Samatta pale mbele,kasi yao itasaidia sana maana mbele naona kumepooza kweli
Aondolewe asije akaicost timu!Abdi Kassim kapooza sana
Dakika ya ngapi?
Sijui ni kwa nini kocha kamuweka Ngassa benchi.....Aondolewe asije akaicost timu!
sana...Ni mapumziko sasa, dk45 zijazo ndo muhimu sana kwa Starz.
Kuna haja ya kumuingiza Mrisho Ngassa 2nd Half....Ni mapumziko sasa, dk45 zijazo ndo muhimu sana kwa Starz.
<br />tumejitahidi sana,Algeria watabadilika sana kipindi cha pili kuwachanganya ni spidi mwanzo mwisho,hasa aingie Ngassa badala ya Abdi kassim!