TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Kuna haja ya kumuingiza Ngassa ashirikiane na Samatta pale mbele,kasi yao itasaidia sana maana mbele naona kumepooza kweli
 
tumejitahidi sana,Algeria watabadilika sana kipindi cha pili kuwachanganya ni spidi mwanzo mwisho,hasa aingie Ngassa badala ya Abdi kassim!
 
Walinde goli,tumezoea wanaongozaaaaaa then wanafungwa,,,,staz hawa si wa kuwaamin hata.......
 
Nsajigwa siku hizi naona anasahau majukumu yake; ukabaji wake si mzuri sana, mipira mingi ya hatari inapitia kwake. Poulsen inabidi ampe msisitizo juu ya majukumu yake.
 
Stars wametulia kwenye kiungo,beki nayo imejitahidi kiasi ila kuna tatizo kwenye beki ya kulia....Nsajigwa kapooza sana,anapoteza mipira bila sababu ya msingi kiasi kwamba analeta madhara golini....Kwa mbele Nizar na Samatta wamecheza vizuri sana.....

Mrwanda na Abdi Kassim wamepooza,hawajitumi kama wanavyofanya wenzao Samatta na Nizar
 
tumejitahidi sana,Algeria watabadilika sana kipindi cha pili kuwachanganya ni spidi mwanzo mwisho,hasa aingie Ngassa badala ya Abdi kassim!
<br />
<br />
Kocha anaweza kuwa kampanga Babi kwa ajili ya kupiga mashuti ikitokea nafasi maana kwa kushuti jamaa ni mzuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom