TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Wametufunga goli la kijinga kweli

Mrwanda anakosa goli la wazi kabisa.........Krosi ya Samatta
 
Tukizubaa tutafungwa la pili.....Kuna haja ya kuwaingiza Ngassa na Victor Costa

Dakika ya 60

Taifa Stars 1:1 Algeria
 
Gori walilofunga Waarabu ni uzembe wa mabeki kushindwa kujipanga: Nsajigwa inabidi atumie akili na maarifa kuliko nguvu.
 
Ngassa anakaribia kuingia sasa......

Abdi Kassim na Mrwanda wanatuyeyusha....Watolewe tu
 
Back
Top Bottom