Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

Ujinga siyo adui adui mkubwa tanzania ni mmoja naye ni upumbavu .....cheki mtu anaona fahari kuongwa PHD YA KUCHAMBIA KWA YEYE KUTOA BANDARI huo siyo ujinga bali ni upumbavu ulio dhahili
Wewe mbona hujapewa?

Pengine hata kazi huna, maisha yamekupiga makofi, unatafuta mchawi.
 
Hapana zile za papa za kufutia mavi baada ya kufuramishwa na mwanamme mwenzio na kanisa linakubariki.
Papa ndiyo kijambio gani ?mimi ningekuwa rais ningepiga marufuku madhehebu ya dini yote nchini ...kwanza madhehebu ni kunyume ya dini si ukristo wala uislamu .....madhehebu ni haramu.mudi siyo mshia wala msuni na yesu siyo mkatoliki wala msabato wala mlokole.....mtu yoyote akiwa na dhehebu huyo ni mpumbavu hata kama ni baba yako au mama yako mzazi.
 
Tutabaki kuwa wajinga mpaka kaburini.
Heshma kwako !
Ndo maana haya yapo, kwamba,

"The World Bank has revealed that Tanzania's economic growth model is not inclusive enough as a result trapping many into the poverty cycle. In its recently issued Country Economic Memorandum for Tanzania report titled Privatising Growth, World Bank also stated that many poor Tanzanians have come out of poverty in recent years, but many have fallen into it, too. The bank said many Tanzanians are “clearly exposed to frequent income shocks; highly sensitive to such shocks, as they tend to own few assets; and they have limited access to social protection”.“The prevalence of income shocks is clear: the median consumption per adult equivalent in 2021 was more than 10 percent lower than in 2014 due to overlapping shocks that occurred after 2019,” the report reads in part."

Matokeo ya kuongozwa ndani ya ujinga !
 
Papa ndiyo kijambio gani ?mimi ningekuwa rais ningepiga marufuku madhehebu ya dini yote nchini ...kwanza madhehebu ni kunyume ya dini si ukristo wala uislamu .....madhehebu ni haramu.mudi siyo mshia wala msuni na yesu siyo mkatoliki wala msabato wala mlokole.....mtu yoyote akiwa na dhehebu huyo ni mpumbavu hata kama ni baba yako au mama yako mzazi.
Mimi ni Muislam, sijawahi kuwa na siasa za masunni wala mashia, wote ni mapoyoyo kama wewe tu.

Wewe ujristo siyo dini, ni ujinga huo kuamini kitu ambacho hakipo hata kwenye bibilia.

View: https://youtu.be/awLdlqEHnJ0?si=wqCXDbW8drrItZB6
 
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Na ujinga huu huu wa watanganyika ndio unapelekea kuchagua serikali ya kijinga inayoongoza kijinga na kuwafanya watanganyika waishi maisha ya kijinga. Yaani ni ujinga kila kona.
 
Na ujinga huu huu wa watanganyika ndio unapelekea kuchagua serikali ya kijinga inayoongoza kijinga na kuwafanya watanganyika waishi maisha ya kijinga. Yaani ni ujinga kila kona.
Umeanza kujielewa kuwa u mjinga. Hongera.

Sasa anza kuishi bila kuitegemea serikali. Hakikisha serikali inakutegemea wewe.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Bila kuwa na uongozi wenye maono na mfumo mzuri wa kuongoza ujinga hautaisha. Tuanze kwa kuindoa CCM.
 
Kwanini wewe usiwe kiongozi utuoneshe mfano hapohapo ulipo?
Kiongozi wa nchi ndiye anayeweza kuleta mabadiliko. Soma historia kuhusu nchi zilizopata mabadiliko chanya uone. Changes in any country always start with a good leadership. Country leadership plays a crucial role in driving societal changes as leaders shape policies, set priorities, and influence the direction of a nation.
 
Huo ndiyo ujinga wa Mtanzania, kwani wanaoishi "vizuri", kwa mtazamo wako, hapa Tanzania wanaishi chini ya uongozi upi?

Kwa mtazamo wango, viongpozi wawili tu Tanzania hii ndiyo walitaka watu waishi hovyo. Nerere alitaka wote tuwe masikini, Magufuli alitaka wote tuishi kama mashetani. na tukaishi hovyo kweli nyakati zao.

Viongozi wengine wote wamejitahidi sana kuweka fursa za kujiedeleza ziwe wazi.
 
Wanaoishi vizuri wengi wanafaidika na corruption! Unajifanya hujui? Wanatumia nafasi zao kujinufaisha. Corrupted individuals can undermine a country by exploiting their positions of power for personal gain, diverting resources away from public welfare to serve their interests. Upo?
 
Back
Top Bottom