Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
kwenye hili sakata la Ziwa Nyasa sasa ndio tutajuwa kama tuna wanajeshi au tuna Mgambo...
Msisahau siku hizi ukiona ka-nchi kama Malawi kanakuwa na Kiburi ukiachilia mbali hali yake mahututi ya kiuchumi, ujue si bure wanaweza kuwa na baunsa nyumba yao. Na siku hizi vita havipiganwi na nchi moja tu, hizi vurugu tunazoziona Kongo, Syria, na hata kule Libya wakati ule, zile silaha wanazipata wapi makundi haya yanayoasi?? Kama Mafuta na Madini yanalipa msishangae vita ikawa ngumu. Nimekagua ramani zinazotumiwa na taasisi mbalimbali, ramani rasmi za kimataifa zinaonyesha maeneo yenye mgogoro na mpaka wa Ziwa Nyasa ni mmojawapo. Rmani ya UN haikuweka alama kabisa katika Ziwa, na ni vigumu kujua mpaka unapita wapi, ila ramani inayotumiwa na serikali utaona mpaka unapita katikati ya Ziwa Nyasa.
Ninakumbuka pia wakati huo tulipokuwa tunajifunza kushora ramani shule ya Msingi na Hata Sekondari, kale kamstari ka Ziwa Nyasa kalikuwa kananisumbua sana na wakati wote nilikuwa najiuliza kwanini kajikunje vile, na kuna wakati niliamini kalikuwa kanalikwepa Ziwa Nyasa. Tusubiri tuone
Wamalawi wakijaribu watajuta tutateka Ziwa Nyasa lote na baadhi ya miji...zipo F-16-Air Fighter mpya pamoja na Tanks land type mpya zipo kwenye barrack zetu.
Bimkubwa wewe kweli ni kituko. Yaani kila uandikapo u.pupu wako lazima nicheke.
Hapo kwenye hayo maandishi mekundu yaliyokolea (bold red), vitu vikishakuwa viwili vinatambulishwa kwa uwingi na si umoja. Kwa hiyo ni missiles mbili na siyo missile mbili.
Umeelewa Bimkubwa? Halafu ushawahi kusikia kuhusu drones wewe?
nguvu ya idadi ya wanajeshi ila kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kenya ndio wenye most morden army in east ¢ral afrika
Wikipedia?wikippedia mkuu, ha ha ha ha ha haziaminiki
BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA
African Country Active Troops Reserve Paramilitary Total Troops Egypt 450000 254000 405000 1109000 Eritrea 202000 250000 0 452000 Morocco 196300 150000 13500 359800 Algeria 127500 150000 60000 337500 Sudan 104500 0 95000 199500 Ethiopia 182500 0 0 182500 Nigeria 78500 0 82000 160500 Libya 76000 40000 3000 119000 Tanzania 27000 80000 1400 108400 Angola 100000 - - 100000a DRC 83800 0 1400 85200 Rwanda 61000 0 10000 71000 Uganda 60000 0 1800 61800 South Africa 55750 - - 55750 Zimbabwe 32000 0 21800 53800 Burkina Faso 6000 45000 1800 52800 Tunisia 35000 0 12000 47000 Burundi 40000 0 5500 45500 Chad 30350 0 4500 34850 Cameroon 23100 0 9000 32100 Kenya 24120 0 5000 29120 Côte d'Ivoire 17050 0 7000 24050 Zambia 21600 0 1400 23000 Madagascar 13500 0 8100 21600 Mauritania 15750 - 4500 20250 Guinea 9700 0 9600 19300 Senegal 9400 0 5800 15200 Namibia 9000 0 6000 15000 Sierra Leone 13000 0 0 13000 Liberia 13000 0 0 13000 Mali 7350 0 4800 12150 Republic of the Congo 10000 0 2000 12000 Djibouti 9850 0 1400 11250 Guinea-Bissau 9250 0 2000 11250 Niger 5300 0 5400 10700 Botswana 9000 0 1500 10500 Togo 9450 0 750 10200 Mozambique 10000 0 0 10000 Benin 4550 0 3000 7550 Ghana 7000 0 0 7000 Malawi 5300 0 1500 6800 Gabon 4700 0 1500 6200 Equatorial Guinea 1320 0 2000 3320 Central Afr Republic 1400 0 1000 2400 Lesotho 2000 0 0 2000 Cape Verde 1200 0 0 1200 Gambia 800 0 0 800 Seychelles 450 0 250 700
Tanzania vs Malawi
108400 6800
Ratio ni 1:16
wao na waingereza sisi na mjerumani! mchina nae hawezi kukuali soko lake life hapa bongo! waindi jee? wazee wakujitoa muhanga jee? bado mafreemansonjje? wazee wa upako je? wamekwisha malawi! mimi wangu mtoto au mjukuu wa kike wa madam joyce
mtoto wake wa kike wangu mkuu, we wako labda mjukuu