Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

Go and ask the east what was happen with there ill-equipped red army. Like Hitler said once you have to kick the door and the whole rotten structure will come down. Sasa hata kama una jeshi kubwa na vifaa vingi...je wananchi wanaweza kusupport struggle hii...wakati nyie mlio kwenye madaraka hamkuwajali kipindi hicho chote.
I hope we will win through dialog and keep up with our motto.TZ kisiwa cha AMANI
 
Sasa nimeelewa ni kwa nini kila maandamano yakitokea polisi wanapiga machozi ya mabomu pamoja na mabomu ya machozi.
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
Kuna siku nilikuwa na jamaa ambao ni wanajeshi wa Tanzania na palikuwa na mabishano kuwa kenya wana ARMY lakini Tanzania tuna DEFENCE FORCE na jeshi letu lipo weak kulingana na kenya.

ungemuuliza wao Bahari yao siku hz inalindwa na nani? Kenye ina bahar lakini jeshi la majini hawana
 
mkuu you just made my day.......haya sasa, hiyo makitu ndiyo inakuwaje sasa? Maana sheikh yahya ashafariki na sijui nani mchawi mwingine maarufu

lol!

Umemsahau mtu ccm wanamtegemea katika uchaguzi kuroga huyo ni profesa maji maref?
 
Tumejifunza kwenye vita ya Vietnam waliokuwa na idadi kubwa ya wanajeshi km mchanga, ila kilichowatokea sitaki hata kukumbuka!
 
Ni mambo kadhaa ikiwemo:-

1. idadi ya wanajeshi,
2. vifaa vya kijeshi,
3. ujuzi na maarifa,
4. uzalendo wa wanajeshi na raia wake hasa katika kujitolea vifaa vya kulisaidia jeshi kama vile mabasi ya kuwasafirisha wananjeshi kwenda uwanja wa mapambano.,
5 kujua nguvu ya adui ..nk.

Ashakum si matusi, ni muhimu pia kujua idadi ya wapiganaji ******* kwenye jeshi la kila nchi. Hii ni factor muhimu sana katika ku-determine uwezo (ukakamavu, n.k.) wa wapiganaji. By the way si nasikia Malawi imehalalisha rasmi usenge and ushoga? Kama ndivyo, itakuwa advantage sana kwetu. I am trying o think from all possible angles.
 
Idadi ya watu inahusika sana kwenye vita kama mnabisha muulizeni USA alichokipata Vietnam!

mkuu hiyo ilikuwa miaka ya zamani wakati teknojia ya jeshi ilikuwa ndogo kuljnganisha na sasa. Jeshi la kisasa ni lile dogo (rasilimali watu) lenye vifaa bora vya teknolojia ya hali ya juu...mfano askari 3 kwa kutumia gari la deraya wanaweza kudhibiti askari 3000 wenye kutumia gobore....hivyo kushinda vita hategemei sana idadi ya askari pekee ni pamoja na uzalendo mbinu na vifaa...
 
Ashakum si matusi, ni muhimu pia kujua idadi ya wapiganaji ******* kwenye jeshi la kila nchi. Hii ni factor muhimu sana katika ku-determine uwezo (ukakamavu, n.k.) wa wapiganaji. By the way si nasikia Malawi imehalalisha rasmi usenge and ushoga? Kama ndivyo, itakuwa advantage sana kwetu. I am trying o think from all possible angles.

hii inaweza ikawa imehalalishwa uraiani pekee. Jeshi huwa na vigezo vyake pia...hebu tuwe wakweli aina hiyo ya watu hawapo hapa tz???
 
Millitary spending ya Tz sio kubwa sana (around 0.2% YA GDP (ipo around 64.7 billion dollars)= about $129 million), ya mlw ni 1.3% ya GDP (about 14 billion dollars)= ni kama about $192 million hivi). But inabidi ujue hiyo expenditure ni ya vitu gani, which is more relevant question.


hatuna hizo billions of dollars,
 
Ni jukumu letu kuiona nchi yetu inakuwa na uwezo wa kujilinda na kutetea maslahi na sio tu haki.
Tunahitaji tulinde maslahi yetu na si haki yetu. Haki wakati mwingine huingiliwa, lakini Malawi akiziingua ziwa Nyasa tulibadiri jina na kuwa Nyerere na tutoe ushahidi hata wa uongo kudhihirisha uhalali wa kuwa Ziwa lote la kwetu na mali zake zote
 
Millitary spending ya Tz sio kubwa sana (around 0.2% YA GDP (ipo around 64.7 billion dollars)= about $129 million), ya mlw ni 1.3% ya GDP (about 14 billion dollars)= ni kama about $192 million hivi). But inabidi ujue hiyo expenditure ni ya vitu gani, which is more relevant question.
I do wonder, with my eyes wide open, MATHEMATICS IS A NATIONAL SICKNESS......
Look this.... tena huyu anaandika confidently....as if
he knows well & explains to others of which yupo totally wrong....
..... 64 billion dollars ..... hujui unaandika nn...
....... Hii ni 100 trillions Tshs kwa rate ya 1 usd = 1570 tsh
----- so acha kuandika usijokijua......
------ mtafeli sana, in turn, this reflects ur reasoning power = poor.....to hint you, Bajeti yetu 2012/13 = 15 trillions tshs
 
Naamini malawi watajua hili kama watalianzisha game.... hata hivyo vita si jambo jema... tushirikiane kuepusha vita hii.
kweli mama porojo vita si jambo iema lakini vita ya kifala kama na ya malawi ni muhimu sana maana mtu akidai mkeo demu wake wewe utafanyaje hawa jamaa ni kuchapa tu tueshimiane ati kwa kuwa wao ni wanyasa basi ziwa lao ebo na sisi watanganyika tusemaje na lake tanganyika wapuuzi sana wapigwe tu
 
Pamoja na nguvu hizo Kijeshi, amini kuwa "Mbwa hana uwezo wa kupanda mti. ila utakapomkuta mbwa yuko juu ya mti, lazima ujue amepandishwa" Likewise "Malawi haina nguvu Kijeshi, utakapo ona malawi inaanza uchokozi, lazima ujue kuna nguvu nyuma yake" malawi ametumwa tu kuchokoza, ili kitendo chenu cha kuweka bendera za maadui zao kikomeshwe "SOMA NYAKATI"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom