Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

Mpaka hivi sasa, kiuhakika, nakerwa kupita kiasi na mizaha ya baadhi ya wanasiasa kugeuza MITAMKO NYETI YA KIVITA kuwa ni jambo la kuchezea ovyo tu mitaani bila kujali ATHARI wanazozileta kwa TAALUMA HII MUHIMU YA KAZI YA ULINZI wa mipaka yetu.

Naam, nasema kwamba wanasiasa hawa wananikera kuliko hata Mama Joyce Banda anavyonitatiz na msimamo wake wa KUTUCHOKONOA MACHO makusudi kwa uchokozi wake ndani ya ardhi yetu!!!!!!!!!!!!!!

Hivi ni nani mwenye hekima tupataye atakayewaziba midomo hawa ma-OPPORTUNISTS kama Lowassa kuacha mara moja kuchezea mmbo ya kitaaluma kijeshi mitaani hivi????????

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anapima upepo kwanza kabla ya kuitisha kikao na wazee wa Dar es salaam ili ampe vidonge vyake Joyce Banda. Kuhusu kuwaziba midomo wakina Lowassa sina uhakika kama hiyo itakuwa ni mojawapo ya ajenda ya mkutano wa mkulu na wazee wa Dar.
 
Ni mpumbavu pekee anayewezatoa analysis kama hii. Naona mawazo mengi humu ni kama ya watoto wasioelewa hata wanalolijadili. Mnadhalilisha jamii forums.
We pia unajifanya unajua kumbe hamna kitu,kazi kutukana wenzio wewe unaejua mbona huna data zozote hapa??hivi wewe ni mtz kweli???haya MEREMETA ilikuwa inaendesha uchimbaji wa madini kwa niaba ya nani???na hao ni wanajeshi JWTZ.Sio kulinda mali za mafisadi???unajua Pinda alisema nini kuhusu meremeta??ACHA KUJIFANYA NI MZALENDO unajua kila kitu kumbe hamna kitu.
 
vita ya sasa sio idadi ya wanajeshi bali nikua na reliable air defense and best air force plus navy ambayo ina comprise frigates, destroyers with ability of firing missiles and not rockets as well as submarine with ability of firing torpedo and missile kwani zitaweza ku sink meli za adui..Pia lazima uwe na long range missiles ambazo sitasaidia kama hatuna fighter jets za ku penetrate anga za adui yako..Pia lazima uwe na anti air defence mfano Russian made S300 or chinese HQ9 ambazo zinauwezo wa ku intercept and destroy figher jets and missiles.....Pia lazima uwe na RADA imala yenye technology ya juu....VINGINEVYO ATA WANAJESHI 100 TU WANAWEZA KUTUPIGA VIBAYA SANA KAMA HATUNA HIVYO VYOTE
Nimekupata Mkuu,Airforce yetu si nzuri kihivyo ndio kwanza tuna F7 za kichina uwezo hazina tofauti na Mig 21 za kirusi miaka hii utegemee iruke ikapige LILONGWE irudi salama????haibebi missile ila inabeba mabomu ya kudondosha na ina mtutu wa bunduki mbele kwa chini.
 
We pia unajifanya unajua kumbe hamna kitu,kazi kutukana wenzio wewe unaejua mbona huna data zozote hapa??hivi wewe ni mtz kweli???haya MEREMETA ilikuwa inaendesha uchimbaji wa madini kwa niaba ya nani???na hao ni wanajeshi JWTZ.Sio kulinda mali za mafisadi???unajua Pinda alisema nini kuhusu meremeta??ACHA KUJIFANYA NI MZALENDO unajua kila kitu kumbe hamna kitu.

Its only a fool who can have such a line of argument. Mimi ni mpenzi mkubwa wa jamii forums, tafuta michango yangu kijana. Lakini sasa hivi inaonekana JF imevamiwa na vitoto with poor reasoning capacity. Wakati nchi inajaribu kuwa pamoja kumkabili adui kutoka nje, wajinga wachache wanadhani everything is CCM vs CHADEMA. Fools indeed! Wenzenu wanapokuwa na tishio toka nje huja pamoja kwa lengo la kumkabili, wajinga wachache humu wanaanza kuliponda jeshi lao wenyewe ambalo ndilo linawapa kiburi cha kuongea kwa uhuru! Mtake msitake jeshi lenu ndio hilo, lina vifaa halina bado ni lenu, ni dhaifu au la ndo la Tz hilo kwa ajili ya watanzania. Na watanzania halisi watakuja pamoja kuliunga mkono jeshi lao hasa wakati huu wa tishio toka nje. Mamluki hawakosekani na ndio kama wewe ambao mnatumia nafasi hii kutaka kuligawa taifa wakati huu muhimu kabisa! Hebu wacheni ujinga huo bana! I can't be more clearer than that!
 
Back
Top Bottom