Wako wamama wengi wasomi na wenye uchungu wa nchi, kiu ya maendeleo, wazalendo.
Sizungumzii itikadi za vyama,
Je TZ iko tayari kuongozwa na mwanamke? JFs mnafikiri ni mwanamama yupi anafaa kuingoza TZ?
Je TZ iko tayari kuongozwa na mwanamke? JFs mnafikiri ni mwanamama yupi anafaa kuingoza TZ?[/QUOTE]
Upo karne ya ngapi? (Darwin 12 February 1809 19 April 1882), wake up this is 21st century.
Swali Tanzania iko tayari au Watanzania wako tayari kuongzwa na rais mwanamke?
Hakuna mwanamke aliye tayari kuongoza nchi........ Kama ni changes tungeanza na kuandaa vijana
period...!!
Hii mada ni muflis, kama ile ya kutaka uwiano wa wabunge waume na wake wa 50:50. Hizi mada mbili ni watoto mapacha vimbaumbau, waso na miguu wala mikono.
Wako wamama wengi wasomi na wenye uchungu wa nchi, kiu ya maendeleo, wazalendo.
Sizungumzii itikadi za vyama,
Je TZ iko tayari kuongozwa na mwanamke? JFs mnafikiri ni mwanamama yupi anafaa kuingoza TZ?
Hii mada ni muflis, kama ile ya kutaka uwiano wa wabunge waume na wake wa 50:50. Hizi mada mbili ni watoto mapacha vimbaumbau, waso na miguu wala mikono.
Mtoa mada arudi akajipange upya, sijui chimbuko la mada nini au nini anataka tuelewe. NIONAVYO MIMI.
Naona wewe ndio umepotea njia kabisa.
Bunge la Liberia lina wabunge wanaume na wake 50:50?
Bunge la Ujerumani lina wabunge wanaume na wanawake 50:50?
Rudia post kwanza, sijaipost kwa ajili ya usawa na wanawake na wanaume katika kazi.
Nakuongezea swali jingine,
Utachagua kuongozwa na mwanaume fisadi katika nchi na asiyejali watanzania wenzake au utachagua mwanamke mzalendo mwenye kuijali nchi yake na watu wake?
Nimependa point yako hasa the bolded part.Mwanamke anaweza kuongoza nchi lakini asiwe na mme kwasababu atampotosha