Tanzania iko tayari kuongozwa na mwanamke?

Kinachoongoza nchi sio jinsia tafadhari!!!!!!! Ni uwezo wa mtu wa kupambanua mambo. Hata hivyo uongozi wa nchi nying zinazoendelea kidogo kuna ........ ambazo wanawake hawawezi kustahimili. viongozi wanawake wanahitaji mambo yafanyike na sio kona kona.
 
Nakumbuka niliwahi kuona huu mjadala kwenye kipindi fulani cha wanafunzi pale tbc1, nilipendezwa sana na mtazamo wa vijana wetu...ila tatizo ni moja tuondoe haya masuala ya kupeana madaraka eti kwa kigezo cha kuongeza asilimia bungeni hapo tunaweza kuweka mjadala sawa zaidi ya hapo ni kuweka robo sukari bahari. No equality no quality.
 
Hivi ingekuwa ndiyo wazungu wanauliza je watanzania wana uwezo wa kuongoza nchi wewe ungechangia nini? (wanaongelea watz na siyo gender)
Uongozi siyo ubabe, bali ni uwezo wa kushirikisha,kuamua na kutekeleza katika mwelekeo sahihi wenye tija ndani ya taasisi unayoiongoza (Supremacy) kwa kuongoza nchi.
 
Swali lingekuwa limeulizwa na wazungu 'Je watanzania wana uwezo wa kujiongoza' wangekuwa na maana ya wanaume?

Uongozi siyo ubabe bali ni namana ya kushirikisha, kuamua na kutekeleza maamuzi yenye tija kwa nchi.
Hata hivyo uongozi wa nchi hauko personalized, bali ni taasisi yenye hatamu (supremacy institution).naamini kwamba wako wanawake wengi tu wenye uwezo wa kuongoza hiyo taasisi ambayo ndiyo inayo ongoza nchi.
 
Last edited:

Wapo tena wengi tuu Mh.Celina Kombani ni miongoni mwa kina mama wenye sifa na uwezo mkubwa sana wa uongozi japo havumi lakini Wizara yake inamkubali hata wadau pia.Lakini ni ukweli usiofichika mwana mama huyu anfaa kuingoza Tanzania ana muono wa mbali-she is focused,brilliant and aggressive.
 
Lengo la hoja ni zuri=japo framing inatatiza watu. Nadhani mtoa hoja angeuliza "maoni ya watu/mapendekezo ya wanawake wepi wanaofaa kuongoza nchi"
 
"Tanzania iko tayari kuongozwa na mwanamke"? Tanzania inaweza kuongozwa na mwanamke?" Je kuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza Tanzania? I am a bit confused! Watu wanachangia swali lipi kati ya haya maswali niliyo andika.
 
Back
Top Bottom