Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

SADC ilipeleka waangalizi wa uchanguzi huko Zimbabwe tangu mwanzo. Wametoa ripoti yao ya jinsi walivyoona kuanzia kampeni mpaka uchaguzi wenyewe. Ni kuwa uchaguzi huo haukutimiza hata moja ya taratibu ili uitwe wa kidemokrasia. Kufiuatia taarifa hiyo Tanzania inaweza kutoa tamko kama ilivyotoa.

Tupatie mahali iliposema kuwa hata moja ya masharti hayakutimizwa.
 
..ppl,

..kuna jambo linashangaza sana. siku zote humu watu huongelea na kulaumu jinsi viongozi wa kiafrika wasivyowajibika na wanavyolindana. sasa,imetokea angalau wameongea au kuamua jambo la maana,basi ishakuwa nongwa, wanaanza kushambuliwa.

..wakati mwingine lazima tukubali kuwa kuna mambo ya maana viongozi wetu huyafanya. tuache unafiki!
 
..ppl,..kuna jambo linashangaza sana. siku zote humu watu huongelea na kulaumu jinsi viongozi wa kiafrika wasivyowajibika na wanavyolindana. sasa,imetokea angalau wameongea au kuamua jambo la maana,basi ishakuwa nongwa, wanaanza kushambuliwa...wakati mwingine lazima tukubali kuwa kuna mambo ya maana viongozi wetu huyafanya. tuache unafiki!

Tatizo ni credibility ya hao wanazungumza, wenyewe wana kiporo cha CUF na CCM ambacho hawatangulizi maslahi ya taifa ambayo wanamuhubiria Mugabe ayazingatie.
 
..ppl,

..kuna jambo linashangaza sana. siku zote humu watu huongelea na kulaumu jinsi viongozi wa kiafrika wasivyowajibika na wanavyolindana. sasa,imetokea angalau wameongea au kuamua jambo la maana,basi ishakuwa nongwa, wanaanza kushambuliwa.

..wakati mwingine lazima tukubali kuwa kuna mambo ya maana viongozi wetu huyafanya. tuache unafiki!

Mkuu,

Lakini kweli hai-click kwako kwamba ni kwanini Membe atoe kauli hii akiwa Tanzania badala ya hata pale nje ya jumba la mikutano la AU?
 
Tatizo ni credibility ya hao wanazungumza, wenyewe wana kiporo cha CUF na CCM ambacho hawatangulizi maslahi ya taifa ambayo wanamuhubiria Mugabe ayazingatie.

...Mafuchila, muhimu tujifunze kuhukumu au kupongeza kwa yale viongozi wetu wanayofanya. Si vyema kila jambo lilaaniwe kwa kuelemea kwenye kumbukumbu za matendo yao.
 
..kwahiyo,bora shari kamili kuliko nusu shari.

..halafu,hata wao zao arobaini.
 
Mkuu,

Lakini kweli hai-click kwako kwamba ni kwanini Membe atoe kauli hii akiwa Tanzania badala ya hata pale nje ya jumba la mikutano la AU?

Kwa sababu kilichosemwa ndani ya jengo la AU sio anachokisema ndani ya jengo la Maelezo.

Kama ndio hicho hicho, mbona hatukukisia kwa wale waandishi waliokuwemo ndani ya jengo la AU?
 
..ushawahi kumwona mbwa anayebweka baada ya mtu [labda mwizi] kupita? lakini msg si inakuwa sent kwamba...."kuna mbwa mkali"!

..no pun intended!
 
..ukitilia maanani kwamba kuna taarifa za kuwa hawakuafikiana vizuri. kulikuwa na kambi mbili.
 
Mgogoro uko kwa wananchi...WAWAONDOE HAO VIONGOZI TUPATE UHURU WETU!
 
...Mafuchila, muhimu tujifunze kuhukumu au kupongeza kwa yale viongozi wetu wanayofanya. Si vyema kila jambo lilaaniwe kwa kuelemea kwenye kumbukumbu za matendo yao.

..in fact,hapo ndio tunapolikoroga hasa,maana tunaishia kulaumu kila uchao,na kusahau kuunga mkono yale yenye maana.

..it's like tuko vitani badala ya kushauriana,kutofautiana na kukosoana.
 
..ushawahi kumwona mbwa anayebweka baada ya mtu [labda mwizi] kupita? lakini msg si inakuwa sent kwamba...."kuna mbwa mkali"!

..no pun intended!

Unamaanisha yule mbwa ambae hata mkia unafichwa katikati ya miguu?

lol!

Anyway nimekuelewa, lakini tabia hii si nzuri hata kidogo kwani ina chembechembe za undumi la kuwili.

Halafu unangalie hio isiwe ni flashing pun!
 
.... tupatie ripoti inayosema kuwa masharti walau mawili hivi yalitekelezwa.

SteveD
Big up mwanangu maana hiyo sentensi yako ni mwisho wa maneno. Mini nimetafuta na nimeweka sasa ni vizuri naye aniwekee ili kuonyesha uhalali wa uchaguzi wa Mugabe. Nimecheka saaana
 
Back
Top Bottom