johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,108
Mshindani mkuu wa Mchungaji Msigwa (CCM) kwenye Uchaguzi wa 2020 Steve Nyerere amesema aliwekewa Sumu kwenye Siasa za Uchaguzi wa 2020 ili afe lakini anamshukuru hayati Membe kwa kuingilia kati.
Hajaweka wazi kama sumu hiyo aliwekewa na mahasimu wake wa CHADEMA au Washindani wake kwenye kura za maoni ndani ya CCM, ila amesema aliyeweka hiyo sumu anamjua na amemsamehe.
Source: Clouds media
Hajaweka wazi kama sumu hiyo aliwekewa na mahasimu wake wa CHADEMA au Washindani wake kwenye kura za maoni ndani ya CCM, ila amesema aliyeweka hiyo sumu anamjua na amemsamehe.
Source: Clouds media