- Thread starter
- #21
Hapa tupo pamoja bwana Membe. Ni mabadiliko makubwa sana kwenye sera yenu ya mambo ya nje na hasa kuhusu Zimbabwe, well, kama mnayo anyway!
Kitila,
Unaipongeza serikali kwa lipi? kuwa na ndimi hamsa wa ishirini?
Hapa tupo pamoja bwana Membe. Ni mabadiliko makubwa sana kwenye sera yenu ya mambo ya nje na hasa kuhusu Zimbabwe, well, kama mnayo anyway!
Membe ni mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa AU. labda hawakutaka kumuumbua Mugabe kule Egypt na kuwapa wazungu ujiko...
Membe ni mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa AU. labda hawakutaka kumuumbua Mugabe kule Egypt na kuwapa wazungu ujiko...
Yes!
Katiba ya AU inasema kikao cha Marais Mwanakijiji na Kuhani hawawezi kuingia. Unless ni wapiga picha au waleta chai au wabeba ma briefcase (ma foreign ministers wamo humu).
Mugabe aliingia kufanya nini, kumletea mtu chai?
Binafsi sioni tatizo la kidiplomasia kutangaza wazi wakiwa Egypt! kwa sababu nia na sababu ni ile ile kwa nini tufiche hadi tufike bongo ndio tuanze kuwika?
Binafsi sioni tatizo la kidiplomasia kutangaza wazi wakiwa Egypt! kwa sababu nia na sababu ni ile ile kwa nini tufiche hadi tufike bongo ndio tuanze kuwika?
Yes!
Katiba ya AU inasema kikao cha Marais Mwanakijiji na Kuhani hawawezi kuingia. Unless ni wapiga picha au waleta chai au wabeba ma briefcase (ma foreign ministers wamo humu).
Mugabe aliingia kufanya nini, kumletea mtu chai?
Ni Bora ila wasifanye kwa mashinikizo ya nje mbona walimkubali Kibaki?
This is double stadards, japo naunga mkono kutokumtambua Mugabe.
Text of AU resolution on Zimbabwe
Wed 2 Jul 2008, 11:37 GMT
(Reuters) - African leaders at a summit in Egypt issued a resolution on July 1 calling on Zimbabwe President Robert Mugabe's government and the opposition Movement for Democratic Change (MDC) to negotiate a unity government. Following is a full official text of the resolution:
AU SUMMIT RESOLUTION ON ZIMBABWE
The African Union Assembly, meeting in its 11th Ordinary Session held on June 30 to July 1, 2008 in Sharm El Sheikh, Egypt,
DEEPLY CONCERNED with the prevailing situation in Zimbabwe;
DEEPLY CONCERNED with the negative reports of SADC, the African Union and the Pan-African Parliament observers on the Zimbabwean Presidential run-off election held on June 27, 2008;
DEEPLY CONCERNED about the violence and the loss of life that has occurred in Zimbabwe.
CONSIDERING the urgent need to prevent further worsening of the situation and with a view to avoid spread of conflict with the consequential negative impact on the country and the sub-region;
FURTHER CONSIDERING the need to create an environment conducive for democracy, as well as the development of the people of Zimbabwe;
EXPRESSING its appreciation to SADC, and its Organ on Politics, Defence and Security Co-operation, as well as the Facilitator of the intra-Zimbabwe dialogue, His Excellency Thabo Mbeki, President of the Republic of South Africa, and His Excellency Jean Ping, Chairperson of the African Union Commission for the ongoing work aimed at reconciling the political parties;
RECOGNISING the complexity of the situation in Zimbabwe;
NOTING the willingness of the political leaders of Zimbabwe to enter into negotiations to establish a Government of National Unity;
NOTING FURTHER the preparatory discussions on this matter had already started, under SADC facilitation;
Hereby decide:
1. TO ENCOURAGE President Robert Mugabe and the leader of the MDC Party Mr Morgan Tsvangirai to honour their commitment to initiate dialogue with a view to promoting peace, stability, democracy and the reconciliation of the Zimbabwean people;
2. TO SUPPORT the call, for the creation of a Government of National Unity;
3. TO SUPPORT the SADC Facilitation, and to recommend that SADC mediation efforts should be continued in order to resolve the problems they are facing. In this regard SADC should establish a mechanism on the ground in order to seize the momentum for a negotiated solution;
4. TO APPEAL to states and all parties concerned to refrain from any action that may negatively impact on the climate of dialogue;
5. In the spirit of all SADC initiatives, the AU remains convinced that the people of Zimbabwe will be able to resolve their differences and work together once again as one Nation, provided they receive undivided support from SADC, the AU and the world at large.
Mbona Mama Migiro alikuwepo.....au yeye ni raisi siku hizi?
Membe kaongea muda mfupi uliopita kuwa suala la Zimbabwe AU walipeleka SADC na hajasema kuwa AU hawaitambui serikali ya MugabeAngalia makala yangu ya leo kwenye Tanzania Daima. Bernard Membe amesema kuwa Umoja wa Afrika hautambui Mugabe kama Rais wa Zimbabwe. Zaidi ya yote kwa niaba ya Mawaziri wa SADC amesema kuwa Au haiutambui uchaguzi uliofanyika huko Zimbabwe.
Halafu sasa hivi kuna utata juu ya utata.
Mwanachi wameandika ni Tanzania ndio imesema haimtambui. Lakini hakuna nukuu yenye maneno ya Membe yanayosema nani hamtambui, TZ au AU.
Taarifa ya TBC inasema Membe kasema ni AU haimtambui.
Halafu mwanahabari wa Radio ambayo imetuunganisha na taarifa ya TBC, Mwanakijiji, anaipongeza Serikali ya TZ.
Unaona mkorogo huo?
Nani hamtambui Mugabe, na ni lini na wapi wameamua hicho kitu?
Nyie wanahabari hebu msituchanganyie habari, tafadhali.