DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
Well, what was intended?
j/k
..the msg!
Well, what was intended?
j/k
Unamaanisha yule mbwa ambae hata mkia unafichwa katikati ya miguu?
lol!
Anyway nimekuelewa, lakini tabia hii si nzuri hata kidogo kwani ina chembechembe za undumi la kuwili.
Mgogoro uko kwa wananchi...WAWAONDOE HAO VIONGOZI TUPATE UHURU WETU!
Mimi niliangalia BBC wakati mkuu wa waanagalizi wa SADC anatangaza, sikujua watu kama wewe walioshika mkia wa mbuzi wataniuliza mk.. uko wapi.
http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7480431.stm
..umenikumbusha enzi za mzee wa kiraracha,lyatonga.
..duniani wawili wawili.
Mkuu Nyangumi,
Ningekushauri tu kuwa BBC iwe sehemu yako ya mwisho kupatia habari za Zimbabwe hasa zinapokosekana mahali pengine popote.
Kisheria, kitu ambacho ndio pekeyake alichokitaka Mugabe, uchaguzi wa Zimbabwe umetimiza vipengele vyote vinavyotakiwa. Was it FREE, absolutely YES. Was it FAIR probably NOT. How was the elections in TZ, Uganda, Kenya, Ethiopia, Nigeria n.k.? FREE but not FAIR, and no one listened to the opositions. Why is Zim so special?. How on earth should Kikwete say Mugabe is not a president but Karume is?
How on earth should Kikwete say Mugabe is not a president but Karume is?
Duh! Tanzania tuna ubavu wa kutoitambua serikali iliyochaguliwa Zimbabwe, lakini tunawatambua watawala wa Zanzibar?
Christopher Munnion in Johannesburg The Telegraph said:
Last Updated: 8:49PM BST 03/07/2008
Botswana has deployed units of its army along its border with Zimbabwe as "a
precaution" against trouble in its crisis-torn neighbour spilling into the
country, sources close to the government have said. Relations between the two countries have become strained by the influx in recent years of tens of thousands of refugees from Zimbabwe who have crossed the border illegally, fleeing the violence of Robert Mugabe's supporters.
Botswana, one of the most prosperous and successful countries in Africa,
built an electrified fence along its 300-mile border, largely desert scrub,
with Zimbabwe five years ago and tightened controls at its border posts. It
has refused to recognise Mr Mugabe's victory in last week's presidential
poll.
The Botswana Sunday Star, under the headline "Botswana Prepares For War?"
reported that the Botswana Defence Force [BDF], including units with heavy
artillery, had deployed along the Zimbabwean border. The newspaper quoted Brigadier Dikgakgamatso Seretse, the defence minister, as saying: "This is a very sensitive matter... I can neither confirm nor deny any deployment of soldiers."
A well-placed source in Gaborone, the capital, confirmed that units of the
BDF were patrolling the border. "This is purely a precautionary measure. The problems in Zimbabwe are well-known and the government clearly wants to prevent any trouble in that country from affecting us."
The newly-elected president, Ian Khama, a Sandhurst-trained former commander of the BDF, has become increasingly critical of Mr Mugabe's rule in Zimbabwe and the problems it has caused in neighbouring countries.
Mr Khama, son of the first president of Botswana, Sir Seretse Khama, and his
English-born wife, Ruth, is believed to have been one of the prime critics
of Mr Mugabe at the emergency meeting of the African Union in Egypt last
weekend.
Hivi Tanzania inawezaje kuona umuhimu wa serikali ya mpito na umoja wa kitaifa kwa Zimbabwe, bila kwanza kupractise ushauri huo kwenye mgogoro wa CUF na CCM Zanzibar?
Kama hili ni kweli basi wamrudishe nyumbani balozi wetu Zimbabwe na pia wamuombe wa Zimbabwe arudi kwao.
Tanzania ikiingilia huu mgogoro kwa namna MAFISADI wanavyotaka sisi tufanye...Basi usishangae AFRIKA KUSINI WAKIJA HAPA KWA MBWEMBWE KAMA TULIVYOENDA UGANDA!
Wale waliofukuzwa kutoka huko ambao ni WAZIMBABWE ni wale ambao hawamtaki MUGABE na MBEKI hataki wengine waitumie SA kama staging ground for guerilla attacks!
On the other hand..Raia wengine wageni waliotolewa baruti huko Afrika Kusini ni WATANZANIA ambao kutokana na msimamo wao wa kumsapoti TSIVANGIRAI DHIDI YA MSIMAMO WA MBEKI KUMSAPOTI MUGABE..Umepelekea IMANI yao kuwatoka dhidi ya watanzania hao ambao sasa wanajulikana kama vibaraka wa mkoloni AFRIKA..MBAYA ZAIDI...HATA WANANCHI WENYEWE HAWAWATAKI TENA!
Zanzibar sijui ni nini ila ninajua kuwa ina watawala wake na sheria zake pia, au?
sijui kama wakuu wamelitazama hili. unapokuwa humtambui rais wa nchi na serikali yake inamaana hatua ambayo inafuata ni kuvunja uhusiano wa kibalozi au "kumuita balozi wenu nyumbani kwa mashauriano." sasa kama ndio mmeishaitiana mabalozi wenu kwa mashauriano sijui huko sadc kutakaaje.