kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
wakubali hawa wanaofaidika na hiyo misaada ikiwezeka watoto zao ndiyo mkataba huo uwahusu.sisiwatanzania wakawaida hatuta kusikia.NIBORA TUJITOE KWENYE JUMUH
Kuna taarifa za chini kwa chini kwamba wakuu wa nchi wanangoja uungwaji mkono wa wananchi ili kujitoa katika jumuia ya madola kwasababu ya matamko ya waziri mkuu wa uingereza kushinikiza ushoga kwenye nchi zinazoomba misaada kwa uk, pia jumuia hii imekuwa ni kama muendelezo wa ukoloni mamboleo na hakuna faida yoyote kutokana na kuendelea kuwepo katika jumuia hii
kama unaunga mkono wazo la kujitoa kwa Tanzania jumuia ya madola pls send sms au tuoa tamko kwenye post hii , vile vile kama unapenda Tanzania kuendelea katika jumuia ya madola vile vile weka komenti zako hapa na sababu
Tanzania lazima tujitoe jumuia ya madola na si hapo tu bali ni vema kuanzia sasa tuache kununua bidhaa za uingereza . kwani inasemekana katika bidhaa za chakula wanazoleta kwenye nchi masikini wanaweka vichocheo yaani homoni za mwili zinazopelekea wanaume kubadilika maumbile na kusababisha kuwa mashoga
Kwa hiyo wewe unapenda mashoga wapewe haki hapa Tanzania?