Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

Ushoga Uingereza unaruhusiwa -na kisheria watu wa jinsia moja wanaruhusiwa kuoana. Mfano ni Sir Elton John.

Lakini bado mimi sijaelewa haya makelele yanatoka wapi? David Cameron katoa masharti kwa Matonya kwamba ukipeleka kibakuli basi sharti ukubali 'kuhalalisha' ushoga. Hutaki peleka bakuli lako kwingine. Very simple. After all hela anayowapa inatokana na kodi za watu wa huko wengine wakiwa mashoga.

Mnaacha wajanja wanawaibia madini, voda wanakwepa kodi lakini mnamsumbuwa Cameron kila siku mnaomba chakula. Sasa kawapa masharti- no such thing as free lunch!
And that was my point... He is turning
the tables and use ushoga thain reason kuhusu kinyamazia ufisadi ni kwamba pesa za kifisadi zinawanufaisha wao na wanahusika kuiba e.g. Voda, barrick, radar, kilimo keanza etc

kaona ushoga was an easy way out
 
Dawa hapa ni kuacha kuwa omba omba. Kwanza hadi hivi sasa hiyo misaada ya maendeleo imeletea maendeleo gani?

Na bila kupewa misaada ina maana tutaangamia na kufutika kabisa katika ramani ya dunia?
 
Kama ajili ya misada ndiyo tujidhalilishe basi bora tubakie maskini. Mali tunazo kwa nini tuombe ombe? Ni bora tujifunze uzalendo na tuwache ubinafsi na kama wakitulazimisha tusilo liafiki katika utamaduni wetu na sisi tuwafurumshe kwenye migodi yetu ambayo wanafaidika nayo wakati watatnzania tunabaki maskini. TANZANIA HAMNA MASHOGA na kama wanawajali saaaaana na wawachukuwe kwao.
 
Kuna taarifa za chini kwa chini kwamba wakuu wa nchi wanangoja uungwaji mkono wa wananchi ili kujitoa katika jumuia ya madola kwasababu ya matamko ya waziri mkuu wa uingereza kushinikiza ushoga kwenye nchi zinazoomba misaada kwa uk, pia jumuia hii imekuwa ni kama muendelezo wa ukoloni mamboleo na hakuna faida yoyote kutokana na kuendelea kuwepo katika jumuia hii

kama unaunga mkono wazo la kujitoa kwa Tanzania jumuia ya madola pls send sms au tuoa tamko kwenye post hii , vile vile kama unapenda Tanzania kuendelea katika jumuia ya madola vile vile weka komenti zako hapa na sababu

 
Dawa hapa ni kuacha kuwa omba omba. Kwanza hadi hivi sasa hiyo misaada ya maendeleo imeletea maendeleo gani?

Na bila kupewa misaada ina maana tutaangamia na kufutika kabisa katika ramani ya dunia?

Tufutike kwani wao ndio wametuumba? wapi imeandikwa bila Marekani na Uingereza uwezi kuishi?
 
Kikwete nae amemuunga mkono Membe,ameandika kwenye akaunti yake ya Twitter
 
si kutaka vya watu? Acha watusokomeze vidole vya macho. Mpaka tutakapojifunza kukusanya mapato yetu,haswa sekta ya madini na kuacha kusamehe kodi kishkaji. La sivyo mtumikie kafiri. . .
 
dawa ni kutopelejka bakuli huko na kuwabana wawekezajai ndani ya nchi ili tujikwamue
 
Dawa hapa ni kuacha kuwa omba omba. Kwanza hadi hivi sasa hiyo misaada ya maendeleo imeletea maendeleo gani?

Na bila kupewa misaada ina maana tutaangamia na kufutika kabisa katika ramani ya dunia?
tena kuomba hadi pesa ya kujifunza kunawa mikono
 
Unataka kusemaje hapo kwenye ngozi nyeusi wewe!!
Naona leo mende anaripoti kutokea choo cha stendi.
mnachekesha sana, je ingewafurahisha kama angeunga mkono kauli ya Cameroon? Kapinga, nongwa, angeunga mkono ndo kabisaaaa!! ngozi nyeusi kazi kwelikweli
 
mnachekesha sana, je ingewafurahisha kama angeunga mkono kauli ya Cameroon? Kapinga, nongwa, angeunga mkono ndo kabisaaaa!! ngozi nyeusi kazi kwelikweli

Kaka na wewe kumbe umelitambua hilo. Ila sishangali manake hawa watu siku zote wako against serikali, hata kama ni kwa mambo ya msingi. Lakini pia huwezi kujua hao wanaopingana na msimamo wa serikali wakoje , inawezekana ni MASHOGA natamka bila kumumunya maneno kwani wametuchosha na kupinga kila jambo linalofanywa na Serikali
 
unfortunately our leaders dpnt see it that way

mwalimu aliiongoza Afrika kujitoa Commonwealth mpaka SouthAfrica ilipoondolewa..
kina membe wameufyata huko Perth...wanakuja kuita press conference huku dar
Angekuwa Mwalimu Cameroon angelazimishwa kuomba radhi...
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom