Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

wakubali hawa wanaofaidika na hiyo misaada ikiwezeka watoto zao ndiyo mkataba huo uwahusu.sisiwatanzania wakawaida hatuta kusikia.NIBORA TUJITOE KWENYE JUMUH
 
Kuna taarifa za chini kwa chini kwamba wakuu wa nchi wanangoja uungwaji mkono wa wananchi ili kujitoa katika jumuia ya madola kwasababu ya matamko ya waziri mkuu wa uingereza kushinikiza ushoga kwenye nchi zinazoomba misaada kwa uk, pia jumuia hii imekuwa ni kama muendelezo wa ukoloni mamboleo na hakuna faida yoyote kutokana na kuendelea kuwepo katika jumuia hii

kama unaunga mkono wazo la kujitoa kwa Tanzania jumuia ya madola pls send sms au tuoa tamko kwenye post hii , vile vile kama unapenda Tanzania kuendelea katika jumuia ya madola vile vile weka komenti zako hapa na sababu

Kwa mujibu wa maelezo ya waziri wa mambo ya nje bw Bernard Membe kama alivyo nuliwa na gazeti la mwananchi la leo akitoa tamko la serikali dhidi ya kauli y a Cameroon amesema ''Tanzania ni nchi maskini lakini hatuta kubali kuruhus upuuzi huo eti kwa sababu ya misaada yake na fedha zao, lakini ushoga si utamaduni wetu, hata sheria zetu zinakataza''

Watanzia imefika wakati 2we na misimamo kama taifa huru kupinga juu ya huu usodoma unaopigiwa debe na mataifa ya magharibi,ni vyema mtanzania yeyote mwenye kukiuka katiba na tamaduni ze2 kwa kuunga mkono jambo hili akatafuta uraia Uingereza mapema kwani 2talipinga kwa sauti moja.
 
tz kwa kujitutumua bana..wana ubavu wa kujitoa jumuiya ya madola au wanabwatuka tu kama wameshiba mapilau ya kwenye hitima...
 
Thubutu!!!
..sio serikali hii. Na hao wanaoshinikiza 'dual citizenship' si ndio mngewakatalia kwanza? All these are "talk the talk...' but I can assure you no one is ready to walk!"
 
Kama ni issue ya haki za binadamu mbona "binadamu wengi tu" wameswekwa magerezani kwa makosa mabalimbali? Nao watolewe ili waishi "kufaidi haki za binadamu".

Ninaamini kuwa wote wanaoshabikia kutetea ushoga "wana mtindio wa ubongo kama Cameroon baba yao".
 
Tanzania lazima tujitoe jumuia ya madola na si hapo tu bali ni vema kuanzia sasa tuache kununua bidhaa za uingereza . kwani inasemekana katika bidhaa za chakula wanazoleta kwenye nchi masikini wanaweka vichocheo yaani homoni za mwili zinazopelekea wanaume kubadilika maumbile na kusababisha kuwa mashoga
 
ni kweii kina Membe wanataka tusahau HOJA muhimu tushikirie hili la ushoga, guys turudi kwenye hoja za msingi
a) Malipo ya Do-Once
b) Mchakato wa katiba, rasmu bado ni kimeo
c) Maisha yanazidi kuwa magumu
d) Fujo za udini mwanza -- na muafaka wa CDM na CCM arusha

Hili la mzungu dume aliyeamua kuwekwa ndani ya mzungu dume mwenzake asituteke mawazo yetu, wakuu turudi kuangalia mustakabali wa taifa letu.
 
hapo kwenye red unanikumbusha 'jimbi' la Malindi, Kenya mkuu
Tanzania lazima tujitoe jumuia ya madola na si hapo tu bali ni vema kuanzia sasa tuache kununua bidhaa za uingereza . kwani inasemekana katika bidhaa za chakula wanazoleta kwenye nchi masikini wanaweka vichocheo yaani homoni za mwili zinazopelekea wanaume kubadilika maumbile na kusababisha kuwa mashoga
 
Kwa hiyo wewe unapenda mashoga wapewe haki hapa Tanzania?

Sasa Ritz' kwanin serikali upande mmoja wanazuia haki za binadamu upande mwingine wanaruhusu? KAMA SERIKALI INA DHATI YA KUPIGA MARUFUKU MAMBO YA KIPUUZI KWANI INARUHUSU KINADADA KUVAA HOVYO KAMA ILIVYO MITAANI KWA SASA?
 
Kuwa omba omba ni kubaya sana. Ukiwa omba omba kimsingi lazima uwe M.A.L.A.Y.A pia kwani kila utakayemuomba analo atakalotaka kwako! utamkatalia? Sasa hali inaanza kuwa dhahiri shahiri kuwa wale tunaowaomba huwa hawatupi kwa moyo mweupe. Wanataka vile vile tufuate na ustaarabu wao, kwani ikiwa sisi tungekuwa wastaarabu, kwa nini tuwaombe wao?

Ni lazima tujifunze kujitawala wenyewe kwa kutumia rasilimali tulizonazo wenyewe! Tukishindwa, tuwe tayali kwa mambo kama haya. Tujiulize ni kwa nini good governance inatushinda, fedha zetu tunatapanya kwenye starehe za viongozi tu?

Hayo ni matusi madogo, bado tutatukanwa makubwa zaidi, ikiwa hatuwezi kusafisha nyumba zetu!! Kujitegemea ni neno ambalo tumelizika na ujamaa.

Huwezi kulishwa kila siku kwa miaka 50, ukatarajia anayekulisha akuheshimu! Tuamke usingizini.
 
Siyo kujitoa tu, bali tuangalie na mahusiano yetu na Uingereza na washirika wake. Tuvunje uhusiano kabisa na kama kuna makapuni yao yapo TZ yaondoke mara moja. Hii itatujengea heshima na kuwaonyesha kwamba sisi si koloni lao.
 
Naunga mkono kujitoa kwenye jumuiya ya madola kwasababu:

Tujue kuwa nchi inayotegemea misaada haiwezi kujitawara ivi kwanini tusidhibiti wizi wa fedha za uma we fikiria kama mtu moja ana trion tatu yani ivi tukitaifisha mali za mafisdi wote mbona trion kumi na moja nilahisi kuipata bila hata kutegemea uingereza na huo upuuzi wao yani tukiuke hata maagizo ya dini kwajiri ya misaada badae watasema wanainchi nusu wauwawe kwajiri ya misada tutakubali.
 
Wakuu kumbe hamjui kama DAVID CAMEROON ni SHOGA!!! Tena BWABWA. Linaparamiwa kwa MUGONGO. Yaani Senge ile mbovu.
 
sintashanga midugu / jamaa / mishkaji yake baba rz one inaweza kupitisha kimya kimya ikiahidiwa epa..tupige kelele sanaaaa
 
Habari zisizo rasmi baada ya Uingereza kuleta kizungumkuti serikali kwa kupitia waziri wa mambo ya nje kufikiria uwezekano wa kujitoa kwenye jumuiya ya madola na kujiunga OIC. K wa mujibu wa source inaonekana kuwa hii huwenda ikapata baraka mapema sana kutokana na hali ya uchumi inavyokwenda sasa nchini.

Wananchi wataombwa kuacha udini na kujali utamaduni ili kubariki kujiunga na OIC kwa dhumuni la kujikwamua kiuchumi baada ya mfadhili wetu uingereza na nchi nyingine za ulaya zinazosubiriwa kutangaza kuunga mkono uingereza kuweka hicho kama kigezo kikuu cha msaada.

Nchi za scandnavia huenda zikatoa nazo tamko hivi karibuni kuweka kigezo cha haki za binadamu (including MASHOGA) kama sababu ya nzito ya kupata msaada chanzo kimeeleza.

Membe na binamu yake JK hawana njia mbadala isipokuwa OIC chanzo kimeelezwa.

OIC: The Organisation of Islamic Cooperation (OIC) (formerly Organization of the Islamic Conference) is the second largest inter-governmental organization after the United Nations which has membership of 57 states spread over four continents. The Organization is the collective voice of the Muslim world and ensuring to safeguard and protect the interests of the Muslim world in the spirit of promoting international peace and harmony among various people of the world.

The Organization was established upon a decision of the historical summit which took place in Rabat, Kingdom of Morocco on 12th Rajab 1389 Hijra (25 September 1969) as a result of criminal arson of Al-Aqsa Mosque in occupied Jerusalem


Hapo ndipo pale yale maamuzi magumu tena.
 
Bado hawakomi ni huu mtindo wa kuishi kwa kibakuli? Wanashindwa kusimamia mapato yatokanayo na rasimali zetu badala yake wanabuni ni wapi wapige hodi kuomba msaada! Kuna sababu gani ya kuendelea kuwa na viongozi wa namna hii?
 
Tanzania lazima tujitoe jumuia ya madola na si hapo tu bali ni vema kuanzia sasa tuache kununua bidhaa za uingereza . kwani inasemekana katika bidhaa za chakula wanazoleta kwenye nchi masikini wanaweka vichocheo yaani homoni za mwili zinazopelekea wanaume kubadilika maumbile na kusababisha kuwa mashoga

Kwahiyo wanataka kufanya evaluation ya hivyo vichocheo vilivyofanikiwa kwakuwaruhusu watoke from hiding place ili watafiti wao wapate data kirahisi siyo?

Aise!

Kuwa uone ndugu yangu....
 
Kwenye kurasa yake ya Twitter Mh. Kikwete amemnukuu Waziri Membe kama hivi:

"Nchi yetu inaheshimu sheria na utamaduni wake. Hatupo tayari nchi nyingine kutuwekea masharti ya kuwa na uhusiano wa jinsi moja. Hili ni tamko hatarishi linaloweza kuvunja uhusiano na nchi nyingine. Miongoni mwa nchi 54 za Jumuiya ya Madola kati yake nchi 13 ushoga ni sehemu ya katiba yao wakati 41 hazina utamaduni huo hivyo msimamo wa Tanzania ni kuwa na ndoa za jinsi mbili tofauti, kinyume na hapo unafungwa kifungo cha miaka 30. Nchi yetu haiwezi kuyumbishwa na masharti ya aina hii na kamwe hatutaruhusu kuingiliwa na nchi nyingine." (Mh.Bernard Kamilius Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)

Jakaya Kikwete
@jmkikwete Tanzania, East Africa
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom