king'amuzi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 614
- 225
huu mchezo mchafu haufanani na dini,kabila,siasa,wala utamaduni wa mtanzania epuka ku husisha ila vina uhusiano na waingereza,D.cameroon na wazungu waishio Ulaya na america.
waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa , bernard membe jana aliungana na rais wa zanzibar , dr. Ali mohammed shein na rais a ghana john atter mills kupinga kauli ya waziri mkuu wa uingereza, david cameroon ya kutaka nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga.
"hili suala ndio sera ya conservative (chama anachoongoza cameroon ambacho ni wafadhili wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema). Waliipa baiskeli, pikipiki na magari uchaguzi wa mwaka 2005 na 2010). Sasa wanaliunganisha na masuala ya misaada.
Awali lilichomoza kwenye vikao vya maofisa waandamizi wa jumuiya ya madola. Waingereza wliupenyeza kwenye ajenda ha haki za binadamu mawairi tukalikataa kwenye kikao chetu, alisema membe.
alisema mapema mwaka jana nchi moja kubwa rafiki na tanzania aliteua balozo wake mpya nchini aliyekuwa aje na mke mwanaume mwenzake lakni rais kikwete alikataa na hatimaye akabadilishwa.
Yaani Kikwete ni balaaa......! halafu kuna wapuuzi wanasema eti serikali yake inaendeshwa na mfumo kristo wakati mzee mzima shughuli yake pevu ya kimya kimya inaonekana. CCM hoyee..!Kikwete tunamkubali watanzania.Mambo yake kimyakimya sio mtu wa majigambo kama CDM.Nasikia yapo mambo mengi sana ameisha yazuia akiwemo lile suala la mabalozi kuwapa fedha wapinzani ili kung'oa CCM.KIKWETE nomaaaa yaani kimyakimya tu.
Hatutaki.Tutajitegemea wenyewe..tujiunge tu kama vipi ..ushoga ni nuksi mazee
....
Wananchi wataombwa kuacha udini na kujali utamaduni ili kubariki kujiunga na OIC kwa dhumuni la kujikwamua kiuchumi
......
OIC: The Organisation of Islamic Cooperation (OIC) The Organization is the collective voice of the Muslim world and ensuring to safeguard and protect the interests of the Muslim world
chadema wanapinga uchafu aina zote,ccm wamekumbatia uchafu wote sasa kama hili wameliona tuwapongeze kama ni kuoga wameosha miguu ila bado wachafu.Magwanda, vipi? wafadhili ikiwa ni hao na nyie wenyewe mna unga mkono?
watanzania tusiwe na wasiwasi wala hofu juu yab OIC, haina madhara. Africa kusini, Uganda, Kenya, DRC ni wanachama wa OIC. Tusihofu hili.
Yaani Kikwete ni balaaa......! halafu kuna wapuuzi wanasema eti serikali yake inaendeshwa na mfumo kristo wakati mzee mzima shughuli yake pevu ya kimya kimya inaonekana. CCM hoyee..!
Na zile Fedha za Rada mlizokuwa mnalilia je???Magwanda, vipi? wafadhili ikiwa ni hao na nyie wenyewe mna unga mkono?
Kwani mkuu hatuwezi kuishi bila kutembeza bakuli la omba omba? Lazima tukijitoa jumuia fulani tuhamie nyingine kwa sababu ya kuomba? Je nako wakiweka kigezo cha kuwa lazima tuoe wake wanne? Itakuwaje?