Tanzania Daima, Nipashe kudaiwa mill 1000 kwa upotoshaji wa tukio la UAMSHO

attachment.php
 
you are being too simplistic my friend, huyo aliefungua kesi anataka umaarufu tu, halafu punguza jazba zako dhidi ya wakristo kwa sababu ukiwapiga shavu la kulia watakugeuzia na la kushoto, ukiwanyanganya kanzu watakuongezea na joho, those are christians bana people of peace, they never revenge.

Huwa napata tabu sana kila ninapofikiri ingekuwaje misikiti ndo ingekuwa imechomwa.kweli christian wana upendo kama neno lisemavyo upendo huvumilia yote.
 
Ina maana hizo mnazopokea toka uarabuni haziwatoshi mpaka mnataka za dj?
 
Wacheni tatizo, magazeti yanahitaji kupata adabu ,WaTz tumechoshwa na habari za kubambikiziwa , viongozi wa vyama mbalimbali huwa wanaandikiwa mambo yasiyo wahusu.

Kama tunajenga demokrasia itakayomnufaisha mwananchi basi tuweke pembeni ubinafsi na udini ,inatakiwa tuunge mkono kile ambacho kinaonekana kina haki ya kuungwa mkono.

Jambo hili linaweza kutokea na kutendewa mtu mwengine yeyote hata wewe msomaji,sasa kama leo ukiliona hili ni jepesi na halina mshiko na kama haitoshi kutounga mkono ,harakati za kulishitaki hayo majarida ,basi siku likikutokea utakuwa uko peke yako na mazoea ya kuyafanya magazeti na vyombo vingine viondoke kirahisi na kushinda yatakuwa yameshazoeleka.

Linaloweza kukomeshwa leo likomeshwe leo lisingojee kesho.Lichukuliwe jambo hili kama ni kinga.
 
Wanauamsho nina swali kwenu,endapo litajibiwa kiusahihi nitawaona mna sababu za msingi.Serikali ya jamhuri ya muungano ya Tanzania inaamin kuwa Mungu yupo na watu wake wana njia(Dini) tofautitofauti za kumwamin na kumfikia Mungu,lakini haina dini ndiyo maana suala la dini si moja ya masuala ya muungano mnaoupinga.SWALI:Kuna uhusiano gani kati ya KUPINGA MUUNGANO na KUCHOMA MAKANISA?
 
kunawatu hamnazo kweli humu, mtu alikuwa yupo morogoro na hakuwa zenji,wewe unasema kabla ya kulipwa yeye ayalipe makanisa, ayalipe vipi wakati hakuwapo huko?????????? teh teh hapa ndio inaonyesha ni kiasi gani wenzetu ni wa kucopy na kupast mambo.
 
Anae dai fidia sio uwamsho,ni mwananchi ambae anaishi morogoro katika foj ambazo zilitkea huko morogoro,na kuchukiwa picha yake kuwekwa katika habari za uwamsho,ni zahiri kabisa ni uwongo ulio kithiri.
 
Ww waislamu c wagomvi. Msaafu ulichomwa unguja mbona waislamu hawakulipiza kisasa pia ktk vurugu zile msikiti ulipigwa mabomu ukaharibiwa mbona hamujasema. Makanisa yapo karne na karne unguja hayajachomwa. Kama huelewi makanisa yanachomwa na wa2 mbali ili kuooesha kuwa znz kuna ugomvi wa kidini ili kuwapaka matope uamsho .
 
Uislamu ume2taka 2heshimu nyumba za ibada za dini nyengine ,hivyo nataka nikutanabahishe uamsho hawakuhucka na kuchoma makanisa. Kundi la uamsho linatafutiwa kila njama ili lionekane ktk jamii halifai na hii c mara ya kwanza kucngiziwa.Na kama kweli wamefanya kwanini serikali hawakuunda 2me ya uchnguzi.?Hawawezi cuz wanahofu yakatokezea ya 2004 pale walipofanya uchnguz na walipogundua c uamsho kumbe ni baadhi ya wa2 fulan mbona ile 2me mpaka leo haijatoa majibu.
 
Wanauamsho nina swali kwenu,endapo litajibiwa kiusahihi nitawaona mna sababu za msingi.Serikali ya jamhuri ya muungano ya Tanzania inaamin kuwa Mungu yupo na watu wake wana njia(Dini) tofautitofauti za kumwamin na kumfikia Mungu,lakini haina dini ndiyo maana suala la dini si moja ya masuala ya muungano mnaoupinga.SWALI:Kuna uhusiano gani kati ya KUPINGA MUUNGANO na KUCHOMA MAKANISA?

Kawaulize UVCCM hilo swali lako.wapo kisonge pale karibu na kanisa.na mm nakuulza ni mara ngapi waislam wanadai haki zao na hawapewi?uislam upo tangu zamani znz na makanisa pia.hivi ww hata hutumii akili km kweli waislam ndo walovunja makanisa kwann wasiyavunje tangu enzi hizo wkt 99% ya waznz ni waislam?use ur commön sense.huo unaoujua ww just ni upotoshaji wa vyombo vya habari.
 
Ww waislamu c wagomvi. Msaafu ulichomwa unguja mbona waislamu hawakulipiza kisasa pia ktk vurugu zile msikiti ulipigwa mabomu ukaharibiwa mbona hamujasema. Makanisa yapo karne na karne unguja hayajachomwa. Kama huelewi makanisa yanachomwa na wa2 mbali ili kuooesha kuwa znz kuna ugomvi wa kidini ili kuwapaka matope uamsho .

Ur right 100%.
 
Back
Top Bottom