Tanzania Daima, Nipashe kudaiwa mill 1000 kwa upotoshaji wa tukio la UAMSHO

Mi nadhani wewe ndo unaendekeza udini angalia hata ulikoitoa hio taarifa Annur,
 
Wanauamsho nina swali kwenu,endapo litajibiwa kiusahihi nitawaona mna sababu za msingi.Serikali ya jamhuri ya muungano ya Tanzania inaamin kuwa Mungu yupo na watu wake wana njia(Dini) tofautitofauti za kumwamin na kumfikia Mungu,lakini haina dini ndiyo maana suala la dini si moja ya masuala ya muungano mnaoupinga.SWALI:Kuna uhusiano gani kati ya KUPINGA MUUNGANO na KUCHOMA MAKANISA?
Kwanza tukuulize ww ni nani aliyechoma makanisa?
 
Uamsho wameomba iundwe tume huru ichunguze suala hili lkn srikali imekataa!kwanini Smz inakataa!?ww unanishtumu mm kwa kosa flani mm nakwambia unda tume huru lichunguzwe jambo hili ww unakataa! Maana yake nini?
Zamani kule Pemba ccm+polisi walikuwa wanatia vinyesi shule na visima usiku ikifika asubuhi kijiji kizima kinakula mkong'oto kisha jela,siku moja jamaa wakasema ngija leo tuwatie adabu walipoingia tu usiku ktk kijiji flani jamaa wakafunga njia kwa magogo ya mnazi alafu wakawafata kule ndani ktk kijiji jamaa wakawazunguka wataka kukimbia hamna njia wakawashika kuwatizama ni miCCM na polisi hawakuvaa uniform,wLiwapiga mapanga kiswasawa ndo ilikuwa mwisho pemba kufanyika hujuma zile,kwaiyo ule ulofanyika Unguja ni mchezo umechezwa na UVCCM znz na polisi.
 
Back
Top Bottom