Tanzania Daima, Nipashe kudaiwa mill 1000 kwa upotoshaji wa tukio la UAMSHO

hayo magazeti mbona malengo yake pamoja na wamiliki wake wanajulikana?? kwa mtu mwenye akili hata hayampi shida
 
Ufedhuli wa wakristu dhidi ya waislam unajionesha dhahiri ktk uzi huu, yaani utadhani wao ndio wanajua kila sheria ktk nchi hii. Wizi wakubwa na ufisadi mwingi umefanya na wizi(wakristu) hawa.
 
tatizo sio udini..ila kwa kuwa kafanyiwa muislamu basi malalamiko lazima yawe makubwa sana mbona ishu ya wakatoliki na ulawiti ilikua ikipotoshwa sana na haya magazeti ya kiisalm mpaka tabu ila sijasikia wakristo wakiomba fidia?? HII NI ILE DHANA YA "UKNIGUSA TUU NAKULIPUA"
 
Mengi, Mbowe, Tanzania Daima, Nipashe, CHADEMA hivyo vyote vimeasisiwa kanisani Moshi!
 
Kwa kukmbukumbu zangu (miaka 30) sijawahi sikia hizi kesi za kudai fidia zimeisha na mtu akalipwa especially wanaowashitaki wanahabari. Mfana Manji kumshatki Mengi, Rostam kumshitaki Saed Kubenea n.k huwa wanadai fedha nying sana lakini kesi huisha pasipotarajiwa. Kwani Uamsho hawakufanya fujo?

Unahakika na unachoongea?njoo znz tukuoneshe ukweli sio unang'ang'ania kitu ambacho huna uhakika nacho wewe.
 
Hao mbona wepesi tu! Itakuwa kesi rahisi sana kupigwa chini, nawasikitikia kwakuwa wakili wa walalamikaji atakula hela ya bure tu wakati kesi ikipigwa chini. Wao walalamikaji wana utaalam wa picha (forensic detection) kuithibitishia Mahakama pasipo shaka kuwa pale panapowaka moto ni Morogoro? Ujinga nao ni mzigo sana.

Wanauhakika ndio ndo mana wakasema.pia mnajua km tanzania kazi yk n kudhulumu ndo ukajitoa jasho kuandika haya.watch out man!
 
Ustadh Juma Kitunga tayari amewaandikia barua ya kutaka fidia ya sh mill 500 kila mmoja kwa magazeti ya tzdaima na Nipashe kwa kupotosha picha waliotoa inayohusu vurugu za UAMSHO.
picha hiyo iliopogwa Morogoro ilitumiwa na magazeti hayo kwa kudai imepigwa ZANZIBAR.
mlalamikaji huo kupitia wakili wake Nassor tayari wameyataka magazeti hayo kuomba radhi na kumpa fidia ya mapesa hayo kabla ya kupandishwa kizimbani kwa hatua nyengine.
Amesema yeye na familia yake imeathirika na tukio hilo kwa hivyo.

Source: gazeti la ANNUR
HIVI HAYA MAGAZETI YETU KWA NINI YANAENDEKEZA UDINI BADALA YA KUFANYA KAZI KWA MISINGI YA SHERIA NA MISINGI YA UANDISHI WA HABARI?


Huyo ustadh ndo yule aliyepigwa picha akiwa na damu?
 
stay to the reality kama ni morogoro au huko kwingine basi wataalam watatwambia na simabishano yasiyo na maana sasa na upande wa pili kama haukuthibitisha uwe tayari kutoa kiasi hicho cha manoti
 
stay to the reality kama ni morogoro au huko kwingine basi wataalam watatwambia na simabishano yasiyo na maana sasa na upande wa pili kama haukuthibitisha uwe tayari kutoa kiasi hicho cha manoti
 
NAPE kesha sema UAMSHO ni majambazi kwa hiyo wanaendeleza ujambazi wa kutaka walipwe hizo fedha hapati kitu hao majambazi wakubwa wajenge makanisa yetu na biblia walizochoma

E]
 
Ufedhuli wa wakristu dhidi ya waislam unajionesha dhahiri ktk uzi huu, yaani utadhani wao ndio wanajua kila sheria ktk nchi hii. Wizi wakubwa na ufisadi mwingi umefanya na wizi(wakristu) hawa.

Unamaanisha kuwa fisadi namba (jk) wa Richimond naye ni Mkristo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom