Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,278
- 4,274
Kwanza pole
Mwanamke mpaka amekubali kuishi na wewe Kuna namna fulani tu ameona atafaidika, yani ipo namna anafaidika, iwe fedha, umaarufu, usalama, show Kali yani kivyovyote vile Kuna namna tu ameona atafaidika kwakua na wewe
Mwanaume yeye mwanamke amemwelewa tu iwe sura au tako, inakuwa imeisha hiyo anamuoa huyo mwanamke, hata kama hana kazi, hata kama sio maarufu, hatakama hatonufaikia kivyovyote vile ilimladi tu amempenda watazaa watoto mambo yataenda
Mwanamke roho itamuua sana kutokana na ukweli kwamba wewe mwanaume upo tu nyumbani unakula, unavaa, unakunya yani umekaa alafu yeye ndio anavuja jasho, aisee hiki kitu mwanamke kinamkeleketa sana roho yake sanaaa, na hiyo ndio maana halisi ya kauli maarufu kwamba "Wanawake ni wabinafsi"
Automatically saizi yeye ndio anajiona baba mwenye nyumba kwasabab anavuja jasho mchana kutwa usiku anakukuta wewe na mtoto mpo tu sebuleni mnachekacheka, nan ni mke hapo mkuu?
Kwahiyo ukiteteleka kiuchumi sio kwamba mwanamke kabadilika hapana ila ndio walivyo yaani hawawezi kuvumilia ile hali ya wewe umekaa tu nyumbani alafu yeye avuje jasho, hawawezi.
Sasa kufidia hizo hasira na makasiriko ambayo yamemjaa kifuani na anashindwa kukuchana ndio anakupa kazi za kipumbavu pumbavu ili tu uteseke ndio angalau roho yake ilizike, yani hii ni nature mkuu.
Hapo ni mawili tu mkuu, utafute mishe au mtimue vinginevyo utapiga huyo mpaka uue mtoto wa watu wakufunge jela mwanao abaki yatima, na ukimpiga ataona ni kama umeibishia serikali hivi, si unajua kinachotokeaga ukiibishia serikali??
Sent using Jamii Forums mobile app