DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,608
- 99,636
Vijana Maneno Kama haya hawatakiwi kuskia, wanataka kina kajala typeTatizo ulilikaribisha mwenyewe ulipo oa mchaga wa Vunjo. Mimi huwa nawauliza Sana vijana.
Kwenu hakuna warembo mpaka mkaoe kwa watu?
Ukiwa msambaa, oa msambaa mwenzio hata mbondei, mdigo na mzigua usiguse.
Ukiwa mpare wa usangi, kaoe usangi achana na dada zetu wa Same.
Usioe kwa sababu ya tako. Oa asiye na yako lkn mwenye busara.
Wenye mijitako wako tele Dar. Unajipigia mwenye tako mchana jioni Benet na wife flat screen.